Aliyeiba Mkoba, simu kwa Babu aadhibiwa kimiujiza

wako watu wanamdharau babu kwa dawa anayotoa kwa sababu ya bei kuwa ndogo laiti kama babu angesema kikombe ni sh 50000/
wengi wangemwamini. Maajabu hayo ni kidogo yanakuja mengi zaidi ya hayo.mungu apewe sifa-amen


POLE SANA NDG YANGU MAANA UNAONYESHA DHAHIRI KUWA MIUJIZA YA MUNGU HUIJUI .hiyo unayoishabikia wewe na wenzako wa aina yako ni miujiza ya mungu wa ulimwengu huu.
 
Back
Top Bottom