Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Nakumbuka kusoma hii kitu kwenye gazeti jamaa alikwenda kuoga akageuka chatu mwanamke alipohojiwa ilionekana ushirikina ulihusika hata sikumbuki mwisho ilikuwaje
Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.
Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.

Hmmm Mwali mbona umevutiwa sana na hii stori?
It contains all the elements of it...Mi mzima NN, najaribu kufuatilia nijue story itaishia wapi.. It better not be just a superstition..
I was about to ask the same question. But then, the story was by NN....the Legend.
Kaizer.. Hii story haukuwahi kuisikia wewe?
Nilikuwa sijazaliwa Amyner..wewe je?:wink2:
hahaha mi mwenyewe nlikuwa sijazaliwa. Nimezaliwa tu nkaskia j.k anaapishwa urais.
usimchezeeeee chatu....oooh chatu eeeeh!!!!!
Mwali......Nimepata ujumbe wako.....Ngoja nimtafute... I have developed a strong interest in this story
Sijui ni uvivu tu, au ni kitu gani kimenivutia, I just want to know more. lol
Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.Mwali......Nimepata ujumbe wako.....
Hiyo stori ni kweli ilitokea na ilikuwa ni mwaka 1987.....Kilichotokea ni kwamba mwanamke alienda kwa mganga kutafuta dawa(limbwata) ili amuwekee mumewe kwenye chakula na maji ya kuoga.....Lengo la kufanya hivi ilikuwa ni kutaka apendwe zaidi,jamaa afe aoze kwake.....Cha ajabu ni kwamba mara baada ya jamaa kula chakula na kuoga alibadilika kuwa nyoka aina ya Chatu....Waliomshuhudia wanasema alikuwa ni chatu aliye mpole na asiye na madhara yoyote...Chatu huyo alibebwa na kupelekwa kituo cha Polisi Buguruni.....Mwanamke alikamatwa na kesi hata haijulikani iliisha vipi na hatima ya huyo jamaa ilikuwaje...
Habari hii iliandikwa sana kwenye magazeti ya Uhuru, Mfanyakazi na Daily News.....Kilikuwa ni kisa cha ajabu lakini cha kweli....
Kisa hiki kilepelekea hata mtunzi na mchoraji wa Kitabu cha Mzee Panga la Shaba(Baba Ufudu) katika moja ya matoleo yake kuweka kisa cha mwana mama aliyeenda kwa mzee Panga la Shaba ambaye alikuwa ni mganga wa kienyeji kwa lengo la kuchukua Limbwata la kumuwekea mume wake ambaye alikuwa ni tajiri sana(mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha)....Baada ya mwana mama huyo kumuwekea dawa mume wake,mumewe alibadilika na kuwa mbwa na katika hali ya kushangaza mwanamke huyo alirudi kijijini Visiga kwa mzee Panga la Shaba na kuwa mke wa mzee huyo.......Hiki kilikuwa ni kisa kilichotungwa kutokana na tukio la yule jamaa wa Buguruni aliyegeuka Chatu....
Mwali......Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.
Binafsi nashindwa kabisa kuamini kua mtu anaweza kugeuka chatu.
Gazeti zinaandika story sababu zinataka kujiuza, sio lazima iwe kweli.
Swali langu la kwanza ni hili: Watu walijuaje kua yule chatu ndio yule Mwanaume?
Chatu alikua half man half chatu au alikua ni chatu mzima mzima?
Hivi haiwezekani mama katunga hiyo story kwa kuficha story kubwa zaidi?
Imagine: Kama alimuua mumewe kwa sababu anazo zijua mwenyewe,
Au kama mume na mke walipanga kupotea kwake (kwa kukimbia majukumu fulani)
si inakua easier kusema mume kageuka chatu, so that the prosecution focusses on this joke
Kuliko kufocus on a serious case of mtu kutoweka na maiti yake kutopatikana?
Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.