Aliyegeuka Chatu

Kumbe ni stori milidhani ni kitu kilichotokda kweli

Ni kweli ilitokea..

Jamaa alienda bafuni kuoga,alipojimwagia tu maji akageuka chatu!

Inasemekana ni mambo ya dawa za mapenzi,sasa ukiziendekeza ndiyo kipindi hicho kuna waganga walikuwa wakiwapa wadada vitu watie kwenye maji ya kuoga mume.

Kwa huyo bidada ikamtokea hayo...! Tena ilikuwa nyumba ya kupanga...
 
Hahahaha, sasa kwa nini alipelekwa polisi???
 
Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.

Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.
 
Ilibidi... Si kituo cha usalama..?
Na yule alikuwa binadamu,kwenda herufi sita kuripoti lazima...
Alikua binadamu vipi? Watu walikuta chatu bafuni,
wanajuaje kua alikua binadam na aliegeuzwa chato kwa kuoga?

Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.

Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.
Mi nilikua (na bado nipo) mkoani. Sikuwahi pata hiyo habari,
Ndio kwanza naiskia, nataka kujifanya Hercule Poirot hapa. lol
 
Hapo alikogeuka mbele za watu ilikua ni watu ngapi?
So polisi waliona Chatu, hawakuona mtu sio?

Kusema kweli mimi sikuwepo hivyo sikuweza kushuhudia kwa macho yangu. Ila ni stori ambayo ilibamba sana.

But I think it was just one of those urban legends.
 
Mi ningependa nipewe tu chronology of events kwanza.
Kuna watu wanasema aligeuka mbele za watu
Wengine wanasema aligeukia bafuni...
Who remembers the story as it was told then?
NN wewe unakumbuka nini please? In what order?
 
My recollection is too vague to give you the chronological order of the event(s).

All I remember is that the guy's wife supposedly did put some love potion in the bucket of water that her husband used to take a shower with and things went dreadfully awry as he morphed into a half man-half python.

It was some crazy shit.
 
My recollection is too vague to give you the chronological order of the event(s).

All I remember is that the guy's wife supposedly did put some love potion in the bucket of water that her husband used to take a shower with and it didn't turn out as expected as he morphed into a half man-half python.

It was some crazy shit.
Hahahahaha, ok. So he was half man-half python?
If this is the case then there is more to investigate on.
Mi nilidhani walikuta nyoka bafuni and they all agreed that it was the guy.
Ngoja Hunsinyo aje atwambie na yeye anakumbuka nini.
Ilikua ni pande gani niwaulize watu wangu wanaoishi dar?
 
Unajua bana enzi zile hakukuwa na hizi social media wala handheld communication devices, kwa hiyo hata habari zenyewe zilivyokuwa zinaenea ilikuwa zaidi kupitia word of mouth.

Redio yenyewe ilkuwa moja na hata magazeti yenyewe yalikuwa mawili au sijui matatu yale...

So you can imagine how scanty the information was.

Kama Balantanda akipitia hapa labda anaweza akaongezea mawili matatu maana yeye namuaminia ikija kwenye kumbukumbu....

Ilikuwa na kati ya Buguruni.
 
Ngoja nimtafute... I have developed a strong interest in this story
Sijui ni uvivu tu, au ni kitu gani kimenivutia, I just want to know more. lol
 
Something tells me you were still too young around that time to remember :wink2:

You probably were not even potty-trained yet...
 
Lolz 'something' is lying to you NN. Umesema ni 87?
I was old enough to remember, believe me! Just not in Dar...
 
Hii mambo ilitoke buguruni gazeti iliyojaribu kuripoti ni 'mfanyakazi' sijui limefia wapi?
 
Asante kaka. Unaweza kutupa habari ilivo ripotiwa?
Hata kama hukumbuki jina, twambie tu mambo yalivo tokea.
 
Back
Top Bottom