Aliyefukuzwa Umeya Geita ashinda uenyekiti wa Mkoa CCM

mjuaji

Senior Member
Apr 6, 2012
166
22
Amini usiamini bwana msukuma amewashinda wapinzani wake ndg luhemeja na ikangara.mwaka jana msukuma alikuwa mwkiti wa halmashauri ya geita madiwani wa ccm wakampigia kura ya kutokuwa na imani naye
 
Hizo ndizo sifa stahiki za kiongozi anayetakiwa kwenye chama chetu.
 
Musukuma alifanyiwa mtimanyongo na mkuu wa mkoa na viongozi wengine baada ya kuwabana wawekezaji kwenye madini. Huyu jamaa ni shujaa kweli kweli. Ila kama wanasiasa wote walivyo ana kundi kwenye mbio za urais ndani ya CCM 2015 na hilo kundi ndilo liko nyuma yake.
 
Msukuma ni kiongozi mzuri sana.Ni mjengaji mzuri wa hoja ila nilimwambia siku moja platform ya chama chake ndiyo mufilisi.Madiwani Geita wamezoea Kuhongwa.Mgodi wa GGM ukishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara Geita ulimfanyia mtimanyongo kwa kuwa alikuwa upande wa wananchi
 
Habari ya siku nyingi,umeadimika sana kamanda
 
Back
Top Bottom