Aliyechana Muswada wa Katiba ni jasiri, na Apongezwe

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Yule kijana wa Kitanzania kutoka Zanzibar ambaye alichana Muswada wa katiba apongezwe.
Kitendo hicho ni cha kijasiri na kinacho tafutwa sana na watanzania wapenda maendeleo kama Mimi..

Hivi hawa fisi wanatuona sisi hatuna akili,, mimi ninauchungusana na nchi yangu lakini kwa mambo ya msingi naona tuwe wakali kidogo

Swala la Katiba si la mchezo hata kidogo.
 
Duh huyu ni jasiri hasa, maana ingekuwa ni bara wangesema ni CDM

 
Last edited by a moderator:
Yes ni mjasiri sana na kama ingekuwa Bara wangesema n Chadema, CCM wapuuzi sana wanapenda sana kufanya vitu kwa kulipua ili waweke Katiba inayo walinda.
 
wanabahati sana mimi mwenyewe ningeupata ningeuchoma moto watanzania sio wajinga kiasi hicho wanachofikiria wao ccm huo muswada walikosea kutupa huo muswada ni wa waingereza manake umeandikwa kiingereza tena wakome kabisa
 
MWAKA HUU WATAKE WASITAKE LAZIMA WAONJE JOTO YA JIWE..CHAMA KIMEJAA MAFISADI TENA PAPA WANAOTUNYONYA WATANZANIA.....:rip: CCM
 
Mimi nilimuona kama jasiri. PAmoja na haya, naomba kufahamishwa, huu muswada uliandikwa na nani, na sasa unaenda kuandinkwa na nani,
kwa majina na position yao serikalini au nje ya serikali, nahisi na SLaa alikuwamo
 
katika maisha kuna kufikiri kuamua na kuchukua hatua i hope jamaa alipitia hatua zote hizi kabla ya kutenda jambo hili
 
Kama kuna Mtanzania au Mzanzibari anayepaswa kuingia kwenye rekodi za dunia kwa mwaka huu au kama kuna jina tunaweza kulipeleka kwenye ushindani wa Nobel Peace Prize basi ni huyo kijana aliyechana muswaada
 
yaani mi ningeupata ningeusih=gina kabisa kama mzee wangu LEo Lekamwa alivoisigina katiba miaka ile ya 90
 
Hata waurembe vipi,maana walijidai wanauondoa bungeni ili ukaandikwe kwa kiswahili,tayari wanasheria wetu wamesha ufasiri ni kwamba hatuuhitaji,watafute njia nyingine.
 
Nimeyapenda sana maneno na quotes zako. ukweli juu ya Tanzania ni hiyo sentence iliyo katika rangi nyekundu na matokeo yake ni hiyo sentensi iliyo katika rangi urujuani.
 
Sasa Tanzania kunako kwenda wamebaki viongozi tu kuanza kufukuzwa kwenye majukwaa ya siasa
 
Back
Top Bottom