Aliyebanjua Mke wa Mugabe kaingia mitini!

yule jamaa ukim-face anakutoa sura yako mara moja,au una weza uka-potea ghafula bila mtu kujua.....yule gavana anajua kabisa kuwa mauti yake ipo mda wowote hivyo ni lazima akimbie.
by :smile-big:the way mke wa mtu ni sumu,na mshahara wa dhambi ni mauti
ISHU KAMA HIZO WALA HAUINGII MTINI UNAM-FACE MZEE MUGABE MAN TO MAN:smile-big:
 
Yaallah!!!!, ya mungu Makubwa, Mtu apewe kila kitu duniani, lakini akose TUNDA!!!!, hatafaidi Dunia!!!!, Bi Mugabe kapewa kila kitu ispokuwa hio naniiiii, ndo maana Mwenyezi Mungu, kamwambia Adam na Hawa, " Fanyeni kila kitu kwenye bustani, Lakini Tunda Hilo Jameni Msiliguse, Kwani ni Dhambi ya Milele",
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom