Aliyeanza kukataa kupeana mkono ni EVRA na sio SUAREZ

Superspoti haikuonesha wakati suarez anampa mkono evra na evra kusita , s3 imeonesha suarez akiwa anashikwa mkono kwa nguvu na De gea kurudisha kwa Evra.
Evra alisita na Suarez akaona haitaji kupoteza mda aendelee na wengine

Shida ni kuwa wengi tunaongelea upenzi. Hizo picha hapo zinaonesha dhahiri kuwa KIMA ndio alianza kususia mkono wa Suarez. Nani asiyewajua Eva na Nasra (wa man city) kwa mambo ya kike bana
 
Ile incident ilitokea haraka sana na haikuwa rahisi kujua nini kimetokea kwa kuangalia SS3 peke yake. Kuna picha kibao hata za video zinaonyesha Evra alichokifanya. Dogo ana matatizo sana. Uliona jinsi alivyokuwa anarukaruka baada ya mechi (as if Man U wameshinda league), tena mbele kabisa ya Suarez?

Kule kurukaruka ni kawaida ya nyani akiona ndizi. Utoto na ukikekike wa kijinga. Ndio namna hii walianzisha majungu South Africa na kuleta vioja
 
Na huo tayari ni ubaguzi: tuweni makini ktk comment zetu..

kwa hiyo hata SAMUEL ÉTOÒ naye anawacgua wazungu coz kila akifunga goli anaonyesha na kuibusu ngozi yake. Why blacks always condems about racism why not whites.
 
kwa hiyo hata SAMUEL ÉTOÒ naye anawacgua wazungu coz kila akifunga goli anaonyesha na kuibusu ngozi yake. Why blacks always condems about racism why not whites.

Ubaguzi hupo sana kutoka kwa wazungu mkuu.
Hawa jamaa walituona sisi ni wazee wa dark continent,tusio fahamu chochote,tunaostahili kuuzwa kama karoti na pilipili hoho pale Kariakoo,wajinga,tuishio porini kama nyani na fisi n.k.

Wanajisahau kuwa hata nyani nao wanatofautiana;nyaniwanaopatikana Afrika wana sura na muonekano kama wa waafrika,nyani wa India,nao wapo kama wahindi,nyani wa Ulaya nao wapo kama waulaya.
Sasa wanapowadolishia ndizi kina Evra na E'too,wanajisahau kwamba nao wako kama nyani wanaopatikana kwao?

Waafrika hatuna tamaduni ya kubagua binadamu yeyote,ndio maana hata akija mtasha,mchina,mjepu n.k. Africa,raia hata kijijini watampokea vyema.
 
[h=1]Luis Suárez issues apology for Patrice Evra handshake snub[/h]• 'I should have shaken Patrice Evra's hand'
• MD Ian Ayre adds: 'He was wrong to mislead us'

The Liverpool striker Luis Suárez has issued an official apology for refusing to shake hands with Patrice Evra before Saturday's Premier League game with Manchester United.

Luis-Su-rez-refuses-to-sh-006.jpg
 
Luis Suarez issues apology
after refusing to shake Patrice
Evra's hand

The Uruguayan was heavily criticised for failing to shake the United captain’s hand prior to the match which the Red Devils won 2-1. It was Suarez's second match back for Liverpool
following his eight-game ban for racially abusing Evra in the reverse tie at Anfield last October. The Frenchman had offered his hand to Suarez but he appeared to ignore the defender and instead shook the hand of United goalkeeper David De Gea. Evra proceeded to grab his opponents arm and try and pull him back, however the Suarez did not look back and carried on along the line. Following the end of the game United manager Sir Alex Ferguson branded Suarez a disgrace to Liverpool and said he should never be allowed to play for the club again. "I have spoken with the Manager since the game at Old Trafford and I realise I got things wrong,"
Suarez said via a statement on Liverpool's official website.
"I've not only let him down, but also the Club and what it stands for and I'm sorry. I made a mistake and I regret what happened.
"I should have shaken Patrice Evra's hand before the game and I want to apologise for my actions.
"I would like to put this whole issue behind me and concentrate on playing football."

Source:
www.goal.com
 
[h=1]Luis Suárez issues apology for Patrice Evra handshake snub[/h]• 'I should have shaken Patrice Evra's hand'
• MD Ian Ayre adds: 'He was wrong to mislead us'

The Liverpool striker Luis Suárez has issued an official apology for refusing to shake hands with Patrice Evra before Saturday's Premier League game with Manchester United.

Luis-Su-rez-refuses-to-sh-006.jpg

Baada ya huu ushahidi hakuna tena utata lakini afadhali ametambua kosa lake na nategemea ajiendeshe kulingana na apology yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom