Aliyeanza kukataa kupeana mkono ni EVRA na sio SUAREZ

Baada ya kuiona ile incidence SS3 na kuirudia kuiangalia kutoka kwenye angle mbalimbali kupitia Youtube feeds ni dhahiri kwamba aliyekataa kumpa mkono mwenzake na kuharakisha kumpa mkono anayefuata ni Suarez na ndio maana hata Rio Fredinand(aliyesimama baada ya Evra na ambaye hana ugomvi na Suarez) akakataa pia kumpa mkono Suarez baada ya tendo la kibaguzi aliloonyesha tena kumuelekea Evra.
 
Tena hata alipofunga goli,jamaa akabusu ngozi lake la kitimoto.
 
Hana manners kabisa,Liverpool wana mchezaji mzuri uwanjani lakini ambaye amethubutu kuleta ubaguzi kwenye soka ya karne hii lililo dhidi ya Racism(kauli mbiu ikiwa Say no to Racism) atakuja kukumbwa na adhabu kali halafu waanze kulalama.
 
haende akacheze jamhuri za balkans nasikia huko wakiona mtu mweusi wanakupangusa waone kama utatoa rangi
 
Superspoti haikuonesha wakati suarez anampa mkono evra na evra kusita , s3 imeonesha suarez akiwa anashikwa mkono kwa nguvu na De gea kurudisha kwa Evra.
Evra alisita na Suarez akaona haitaji kupoteza mda aendelee na wengine
 
Jombi hacha kujisahau.
Wewe mwenyewe mweusi kama maandishi uliyoyaandika.

Suarez is a disgrace to football and the Kops' history.
 
Superspoti haikuonesha wakati suarez anampa mkono evra na evra kusita , s3 imeonesha suarez akiwa anashikwa mkono kwa nguvu na De gea kurudisha kwa Evra.
Evra alisita na Suarez akaona haitaji kupoteza mda aendelee na wengine

Pia mwenye dhamana ya kuchukua picha za video katika EPL ni Skysports au ITV. Hivyo TV zote ulimwenguni zinazotaka kuonyesha live lazima zinunue haki hiyo kwa hao wakuu.
Ninachosema ni kwamba,Supersports, ESPN,Abu Dhabi sports etc. wanachokionyesha ni kilekile. Hivyo acha longolongo za kusema Supersports hawakuonyesha tukio lilivyokua,kana kwamba Supersports walikua na kamera zao pale OT!
 
Superspoti haikuonesha wakati suarez anampa mkono evra na evra kusita , s3 imeonesha suarez akiwa anashikwa mkono kwa nguvu na De gea kurudisha kwa Evra.
Evra alisita na Suarez akaona haitaji kupoteza mda aendelee na wengine

kwa hiyo wewe tv yako fake ilionyesha mwanzo wa tukio mpaka mwisho, mbona unataka kuwa muongo sana! Mi nilishuhudia kwenye bigscreen kabisa.
 
kenge ni wewe ulieonyeshwa hapo juu unapinga nahisi una matatizo ya macho na masikio
 
Superspoti haikuonesha wakati suarez anampa mkono evra na evra kusita , s3 imeonesha suarez akiwa anashikwa mkono kwa nguvu na De gea kurudisha kwa Evra.
Evra alisita na Suarez akaona haitaji kupoteza mda aendelee na wengine

usishindane na makalumekenge wa jf mpwa njoo breakpoint tushangilie MAN CITY BANA
 
wekeni hiyo link ya Youtube tujiridhishe jamani,maana mie ki ukweli sikuiona mechi hiyo kutokana na utofauti mkubwa wa mda
 
Ile incident ilitokea haraka sana na haikuwa rahisi kujua nini kimetokea kwa kuangalia SS3 peke yake. Kuna picha kibao hata za video zinaonyesha Evra alichokifanya. Dogo ana matatizo sana. Uliona jinsi alivyokuwa anarukaruka baada ya mechi (as if Man U wameshinda league), tena mbele kabisa ya Suarez?
 
Back
Top Bottom