..Aliye tayari,. Nataka niwe Muislam[REAL ISLAM(IC)]..

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Jamani kwa wahusika wote. Nataka nislim. Kama kuna "sheikh". Niko tayari anaslimishe,na nipo serious Jamani kuanza rasmi kumtumkia Allah(S.A.W)
 
Karibu katika himaya ya Allah.....
Wew si wa kwanza, Thienry Henry, Sagna, Tyson..... Na wengine kibao....

Lakini isije unafukuzia demuuuuu
 
Karibu katika himaya ya Allah.....
Wew si wa kwanza, Thienry Henry, Sagna, Tyson..... Na wengine kibao....

Lakini isije unafukuzia demuuuuu

wewe Pasco wewe! Nimetaka kuhamia huko kwa sababu ya kukwepa mademu wa kikristu,maana maadili hakuna pale.
Jamani kama kuna Sheikh,au Hadji,au Imamu ani PM jamani. Ili kuonesha kuwa nipo serious,namba yangu ni 0718651174. Tuongee
 
Karibu sana jamvini. Ila umekosea njia, hiyo topic hapa si mahala pake. Peleka jukwaa husika. Karibu katika dini ya haki. Ukiandika neno Allah usiweke S.A.W. Andika ALLAH (S.W).
 
wewe Pasco wewe! Nimetaka kuhamia huko kwa sababu ya kukwepa mademu wa kikristu,maana maadili hakuna pale.
Jamani kama kuna Sheikh,au Hadji,au Imamu ani PM jamani. Ili kuonesha kuwa nipo serious,namba yangu ni 0718651174. Tuongee

Weeeeeeeee
Mbona mm kuna mpare mlokple nambadilisha dini kuwa muislamuuu.....
 
Huko unakoishi hakuna maimamu na masheikh mpaka uwasake jf? Manake hata Rome wanapatikana. Usifanye utani na imani aisee, sio fresh.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom