Aliye na mazuri yaliyopatwa kufanywa na Prof. Kapuya kama kiongozi ayaweke hapa"

Wakati yuko Waziri wa Michezo, maisha yetu kama Simba Sport Club yalikua poa sana,
Tulikua tunapendelewa kichizi!!!
 
Aluu! Kwa bongo naona uzinifu ni karibu kila mtu anafanya tena hata ikikulipukia kama Kanumba bado watu wanasema ulikuwa na tabia mbaya sasa lipi jipya kwa Kapuya?
 
aliuvuruga sana mchezo wa soccer akiwa waziri wa michezo kwa maamuzi yake ya ajabu ajabu, na mwaka 2005 clouds fm kupitia kura ya maoni walimtangaza kama waziri aliye perform vibaya kabisa
Ila kimtindo alisaidia kumfunga jela Eden Raage pindi alipokuwa ananyemelea jimbo la tabora
 
huyu jamaa ananikosha sana nikisikiliza mama vanessa la akudo impact.
kifupi kwangu ndicho kituaalichonia chia kwa miaka yote aliyokuwa serikalini kwani ukishaacha arsenal mimi ni mshabiki mkubwa wa akudo.
 
Namkumbuka sana kwa kuwaambia Wadanganyika ukweli mchungu pale alipokwenda kwao kijijini Kaliua alitumia ndege ya jeshi alipoulizwa kwa nn atafanya ufisadi huo akasema "mlitaka nipande punda"!

Pia alitengeneza kakiwanja chake cha ndege pale Kaliua kadogo dogo ka-kishikaji hako ni ka kwake peke yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom