Alishwa kinyesi kwa kupenda wake za watu

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya kutembea na mke wa jirani yake. Mke huyo wa jirani yake alimpenda sana hawara yake huyo wa nje. Kwa kuwa alimpenda sana alizoea kumpikia wali wa nazi na kuku na kumpelekea hawara yake mumewe akiwa hayupo. Mumewe alistukia deal, akagundua kuwa mkewe anapika wali lakini jioni yeye hawekewi mezani na kwamba anapelekewa jirani yake. Siku moja mume akakuta wali uko kenye hotpot na mkewe akawa anajiandaa kutoka. Jamaa alichofanya ni kujisaidia haja kubwa na kuweka katikati ya ule wali kisha akafunika. Jamaa alipoondoka mkewe kama kawaida akampelekea jamaa yake ule wali. Jamaa ile kuonja kijiko cha kwanza tu akakutana na halufu kali ya kinyesi, acha atapike. Alipomaliza kutapika akamshushia kipigo cha nguzu yule mwanamke na kumwambia " Mimi mtu wa tanga bwana unaniwekea libwata la mavi? ole wako toka .......????//.........wote kenu. Na mahusianao yao yakafa siku hiyihiyo. Mwanamke huyo sasa ametulia na mume wake.
 
Mambo ya kina Kabwela, Uledi, Pwagu...etc. Good memo anyway it's a joke!
 
Back
Top Bottom