Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,113
Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga

530.jpg

Mwanzoni alikuwa msichana mrembo wa kuvutia akishiriki kwenye maonyesho ya mavazi lakini alikuwa anapendelea zaidi wanawake kuliko wanaume, alibadilisha jinsia amekuwa mwanaume sasa lakini cha ajabu sasa amekuwa shoga anapenda wanaume. Pichani Adrian kabla hajabadilisha jinsia kuwa mwanaume.

Shauri zao bwana, na haya mabaradhuri yanafanya kwa kasi ya ajabu promotion ya USHOGA yaani uonekana kama its another way of life, angalia sinema KISS THE BRIDE, 18 STILL VIRGIN yaani ni ubaradhuri kwa kwenda mbele. Sasa movie kama hizi na za uvutaji wa ndumu watoto wetu watapona kweli?
 
Ndiyo maana ni muhimu siku hizi kuwa elimisha watoto mapema kuhusu matatizo mbali mbali ya kidunia. Hata usipo kuwa nao direct mwanzo lakini lazima utumie ustadi kuwa fundisha kipi kizuri na kipi kibaya.
 
Back
Top Bottom