Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

Nakumbuka kombe la dunia. Sikumbuki ni france or korea & japan! Half time ujerumani walikuwa nyuma ya bao moja... Ricky abdallah maarufu kama Dr ricky! Alimwambia michuzi nadhani! "Ujerumani ni paka mwenye roho saba!" Akamtajia sub zitakazofanyika jamaa wakafanya sub! Ngozi ikapigwa maridadi sana! Toka siku hiyo na respect sana mjerumani
 
Companero acha kuchuma dhambi ijumaa mapema hivi...
Wewe chuki yako kwa Gaucho iwe ni ya kimoyomoyo na si ya kuianika hadharani.

Wachambuzi wa kimataifa wa Maswala ya Soka walitanabaisha kuwa ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila Dakika ungesema upelekwe kwa Gaucho ili walio Mbinguni wafurahi na walio Duniani pia.

Wacha kumdhalilisha Saint Gaucho wewee.

Kuna Ronaldo mmoja tu wa ukweli - 'Tukio la Ajabu - The Phenomenon!

"Ronaldinho", the diminutive and term of endearment for "Ronaldo", is accompanied in Brazilian usage by the nickname "Gaúcho", in order to distinguish him from fellow footballer and countryman Ronaldo, who was known as "Ronaldinho" in Brazil beforehand. Ronaldo simply went by his first name upon his move to Europe, thereby allowing Ronaldinho to drop the "Gaúcho" and go by the name Ronaldinho abroad.

http://www.youtube.com/watch?v=o0_ZAhwKRh8
 
Nakumbuka kombe la dunia. Sikumbuki ni france or korea & japan! Half time ujerumani walikuwa nyuma ya bao moja... Ricky abdallah maarufu kama Dr ricky! Alimwambia michuzi nadhani! "Ujerumani ni paka mwenye roho saba!" Akamtajia sub zitakazofanyika jamaa wakafanya sub! Ngozi ikapigwa maridadi sana! Toka siku hiyo na respect sana mjerumani


mjerumani dawa yake Buluda...
Hata kipa wa Italy nikikaa mimi hawatufungi ng'o...
 
"casano should count to 10 before he opens his mouth, but he only gets to eight,".....Marco Materazzi akizungumzia tabia ya antonio Casano ya kuropoka ropoka kama jitu la mataifa.
 
"when he came to our team nobody knew him, he looked like a school teacher in Glasses" Tony Adams akimsema Arsene Wenger alipotua Arsenal mwaka 1996 akichukua nafasi ya Bruce Rioch
 
"Ashley cole today has made you look like a Fool" Alex ferguson akimsakama David Bekham ndani ya Dressing room baada ya Kupigwa na Arsenal 2-0 pale Old traffold tarehe 13 feb 2003 FA cup round ya Tano, Bekham nae akajibu..."Similary wenger today has done the same to you"

Fergie akachukia akarusha kiatu kikamchana Bekham jichoni...miezi 4 baadae akauzwa Madrid
 
"Its a longest ban to my player i have ever seen" Alex ferguson akizungumzia Eric Cantona kufungiwa mechi 15 baada ya kumpiga teke la Karate shabiki wa Crystal Palace mwaka 1995
 
I bleed red and black. Through good times
and bad. Forza Milan.

Kauli hiyo ilitolewa na shabiki nguli wa AC Milan kufuatia matokeo mabovu ya timu hiyo kwa siku za karibuni.
 
arsenal is the future, maneno haya ama kama haya yalisemwa na profesa wa soka - that future is now, akaongezea dakta wa soka!
 
"it was "sad and unfortunate" that the tournament would suffer without ..." - muandaaji wa kombe la dunia la mwaka fulani akimlalamikia kocha fulani kwa kumuacha mchezaji fulani aliyemtambulisha kama 'soccer genius' kwenye kikosi chake!
 
Heshima mbele wakuu...
Katika thread hii tutapata kukumbushana kauli zilizowahi kutolewa na wanamichezo Duniani kote.

Kila mtu kwa kumbukumbu yake anafulsa ya kubandika Quotes iliyowahi kumfurahisha ama kumchukiza katika medani ya Michezo...
Pia ni ruhsa kuelezea kauli hiyo ilitolewa lini ama kwa tukio lipi...


BISMILLAH...

Bismillah ni kauli ya mwanamichezo gani?
 
...tatizo huyu kocha kila anapopanga kikosi anawaita waandishi wa habari utafikiri timu ya taifa bwana... mnazi wa Yanga JF.
 
Back
Top Bottom