Alioyeua mtoto wa miaka 14 Bububu Zanzibar Koplo Said Abrahaman ashindwa kupewa Medal

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
IMG_4213.JPG
Wazanzibarwengi wamefurahishi kuliwa kwa Koplo Saidi, huyu jamaa akikuwa kila mabalaa yakuwanyanyasa wananchi wa Zanzibar yeye huhusika, lakini mara hii arubaini yakeilitimia.
KoploSaidi na wenzake wa JWTZ wa Kambi ya Mwanyanya katika uchaguzi wa Bububu ndiowalio mmiminia risasi za moto mototo wa miaka 14 na kufa shahidi.
Hilililizaweleka hapa kwetu na baada ya kwisha kufanya hivyo basi imekuwa ni tabiana desturi ya Watawala wetu kuwatunukia nishani watu hao na kuwapandisha vyeo.
KatikaUchaguzi wa 2001 26/27 Wazanzibar waliuliwa kinyama na Jeshi la Polisilikishirikiana na vikosi vya Kmkm Pemba , Baada ya Matokeo haya Rais BenjameniMkapa alipanda ndege kwenda Pemba kwa kuwatunukia nishani wauwaji nakuwapandisha vyeo.
Kwavile vuguvugu la joto la mauaji lilikuwa bado halijapowa visiwani Pemba nawauwaji kujulikana na kuwa na hofu, ilibidi wapewe uhamisho wakupelekwa TranferBara,lakini mmoja kati ya hayo aliuliwa Jangombe Zanzibar kwa kuingiziwamwanamke fumanizi na kuwawa.
Kwahio hii imekuwa ni kawaida na tabia ya Viongozi wetu kuwalea wauwaji na kuwapa tunzo, na Jeshi laPolisi hapa kwetu kuna msemo husema wao ni (unteachables) yani wao hawakuswindio ikawa wana jeuri hii.
Kwahio hii ndio inayo wafanya wavuke mipaka na kusahau kuwa Jeshi la Polisi kaziyao ni kulinda raia na mali zao sio kutumika kisiasa na kufanya kazi kwaupendeleo katika jamii.
Kwahiokilichomsibu Koplo Said Abrahamani viongoziwanajuwa jawabu lake na wao ndio wavunjaji Amani na utulivu kwa kulitumiavibaya Jeshi la ulinzi.
Kwahiomara hii Koplo Said kashindwa kupata Medal labda ipelekwe kwa familia yake,alichokifanye yeye kummiminia risasi motto wa miaka 14 kumuuwa kinyama nay eye kupigwamapanga ni haki yake sio mkuki kwa nguruwe tu lakini kwa Jeshi la Polisi uwemchungu.
 
lete ushahidi otherwise na wewe tutakuunganisha kwa mauaji. uwezo wa kukutrack mpaka tukukamate tunao...........
 
Lugha iliyotumika tu! Mi bhaaaaaasii!! Huko visiwani kazi ipo, wawache mupumue...........!
 
Huyu naye haki elimu sijui humu anatafuta nini, hebu rudi shule ukafundishwe kuacha nafasi between words! unaaibisha skuli zenu huko kwa wavuvi
 
kweli umeongea kizanzibari haswa.....haya bwana hata unteachables wana siku yao.....Ila what goes around will always come round.
 
Huyu naye haki elimu sijui humu anatafuta nini, hebu rudi shule ukafundishwe kuacha nafasi between words! unaaibisha skuli zenu huko kwa wavuvi

Halafu wanamlalamikia ndalichako. Wanafikiri mitihani itakuja ki mgomo mgomo? Ma chogoless bana!
 
Hivi Sheikh Farid 'alipotelea'/'alifichwa'/'alijificha' wapi ati? Hii si ndio ilisababisha huyo polisi akauliwa?
 
Polisi wetu ndo maana wanaua watu wenda wakati mwingine bila kutarajia, silaha gani hiyo ya mbao ndefu hivyo na unaenda kukakamata mwarafu? akifanya purukushani kidogo tu si lazima risasi zifyatuke?
 
huyo kijana hana hata bisibisi angalia alivyobebwa kinguvu na askari wengi wenye silaha za moto!Mantiki inaonesha hawa polisi wanasahau akili nyumbani saa ya operesheni na kwa kweli kumtisha kijana kuwa mta m track kumuunganisha ni kuua fikra,Polisi ni msiba balaa mauti,hawafai popote duniani ukiacha Tanganyika na Zanzibar!
 
Najua unataka kutoa dukuduku lako lakini ungekuwa unaisoma thread yako kabla ya kupost ili kama kuna marekebisho uyafuatilie.
 
Topic: Alioyeua mtoto wa miaka 14 Bububu
Zanzibar Koplo Said Abrahaman ashindwa
kupewa Medal
Huko Zanzibar wauaji wanapewa medali?
Kweli mna vihoja
 
IMG_4213.JPG
Wazanzibarwengi wamefurahishi kuliwa kwa Koplo Saidi, huyu jamaa akikuwa kila mabalaa yakuwanyanyasa wananchi wa Zanzibar yeye huhusika, lakini mara hii arubaini yakeilitimia.
KoploSaidi na wenzake wa JWTZ wa Kambi ya Mwanyanya katika uchaguzi wa Bububu ndiowalio mmiminia risasi za moto mototo wa miaka 14 na kufa shahidi.
Hilililizaweleka hapa kwetu na baada ya kwisha kufanya hivyo basi imekuwa ni tabiana desturi ya Watawala wetu kuwatunukia nishani watu hao na kuwapandisha vyeo.
KatikaUchaguzi wa 2001 26/27 Wazanzibar waliuliwa kinyama na Jeshi la Polisilikishirikiana na vikosi vya Kmkm Pemba , Baada ya Matokeo haya Rais BenjameniMkapa alipanda ndege kwenda Pemba kwa kuwatunukia nishani wauwaji nakuwapandisha vyeo.
Kwavile vuguvugu la joto la mauaji lilikuwa bado halijapowa visiwani Pemba nawauwaji kujulikana na kuwa na hofu, ilibidi wapewe uhamisho wakupelekwa TranferBara,lakini mmoja kati ya hayo aliuliwa Jangombe Zanzibar kwa kuingiziwamwanamke fumanizi na kuwawa.
Kwahio hii imekuwa ni kawaida na tabia ya Viongozi wetu kuwalea wauwaji na kuwapa tunzo, na Jeshi laPolisi hapa kwetu kuna msemo husema wao ni (unteachables) yani wao hawakuswindio ikawa wana jeuri hii.
Kwahio hii ndio inayo wafanya wavuke mipaka na kusahau kuwa Jeshi la Polisi kaziyao ni kulinda raia na mali zao sio kutumika kisiasa na kufanya kazi kwaupendeleo katika jamii.
Kwahiokilichomsibu Koplo Said Abrahamani viongoziwanajuwa jawabu lake na wao ndio wavunjaji Amani na utulivu kwa kulitumiavibaya Jeshi la ulinzi.
Kwahiomara hii Koplo Said kashindwa kupata Medal labda ipelekwe kwa familia yake,alichokifanye yeye kummiminia risasi motto wa miaka 14 kumuuwa kinyama nay eye kupigwamapanga ni haki yake sio mkuki kwa nguruwe tu lakini kwa Jeshi la Polisi uwemchungu.

Dawa ile ile ni kuwanyemelea hao wauwaji Police na kuwasambaratisha,sheria iwe juu ya mwananchi lakini police wako juu ya sheria hilo haliwezikani. Hio ndio sera ya ccm .
 
mbona havisomeki ama ni arabic lg ila imeandikwa kwa silabi za kimisri?
 
Halafu mkifeli mnasema eti mnafelishwa!!! Ila sio mbaya hapa ndio umejitahidi big up mkuu!!!
 
Huyu naye haki elimu sijui
humu anatafuta nini, hebu rudi shule ukafundishwe kuacha nafasi between
words! unaaibisha skuli zenu huko kwa wavuvi

Ha ha ha ha! Huyo MEMKWA inaonyesha ndio kamuua Pc Saidi, maana kaandika kwa uchungu,bila hata mpangilio! asaidie upelelezi!
 
Looo! Kuisoma article hii unatumia nguvu nyingi kweli! Makosa tupu,eee haya editing before bana looo!
 
Back
Top Bottom