Alinikimbia.... anapiga goti.

Babu sikiliza, mkamue alafu mpige chini, ili na yeye ajue machungu yanafananaje,awa wanawake pambafu sana.
 
Ha ha haaaaa!!Umeua mkuu,una jazba kama na wewe yameshawahi kukukuta vile!!Kwa kweli JF ni kila kitu!!Ha haaaaaaa!!
 
Mkuu unapoteza muda tu huyo dada atakutegea ujauzito halafu itakuwa ndo gear ya kumuoa ameshaona ramani yako imesoma sasa anataka kurudi maana anajua maisha yatanyooka ugali wa watoto utapatikana bila shida na hata usafiri atapata hata kama sio sasa ila baadae,kama aliweza kukusaliti mwanzo usifikiri amebadilika hiyo ni tabia na usifikiri utaweza kuibadilisha labda kwa neema ya Mungu,achana nae kabisa tena awe mbali nawe utabeba magonjwa ambayo hutaamini ulimwengu huu kaka na magonjwa haya wala usiuchezee kama uliweza kuwa mwaminifu na mvumilivu kipindi chote endelea na msimamo wako uko mpango wa Mungu mzuri mbele yakomara nyingi jambo fulani linapotokea jiulize kwanini limetokea maana Mungu hutuepusha na mambo ambayo si mpango wake bila sisi kujua lakini kwa akili za kibinadamu ukiona aerudi unasema kajileta kumbe ibilisi unakuwinda upate magonjwa.
 
Huyo hana lolote la maana

Ameona alishapoteza anataka akuharibie

Lakini hata bila kuuliza humu, wewe si ulishaona kwamba sio mwaminifu???????????????

Kama unataka kujilipua sawa

Na usisahau ane ua kwa upanga atakufa kwa upanga , wewe unae wa kwako unataka umpeleke wapi?????

Labda kama hii ni Hadithi na haina ukweli
 
gonga sup wenga vizngit apate na kucarry juu..! Umeshka rungu unaogopa kutumia na akikupa kimpwapizi tu anakupa wewe carry ya maisha au umesahau kuwa ililala mbele kupima.
 
piga chini mwana kama kweli una she mwingine unamkubali...huyo hana lolote anatafuta maisha ya mteremko hapo chuo, kama vipi mkazie tu....madem bwana ukiwa hauko poa wanambwembwe kinoma, ukiwa safi tu wanakuwa wapole kama kobe...piga chini

asante mkuu kwa ushauri wako kumbukumbu za alivyonitosa kamwe hazitoki ila i ll stand on yo point
 
gonga sup wenga vizngit apate na kucarry juu..! Umeshka rungu unaogopa kutumia na akikupa kimpwapizi tu anakupa wewe carry ya maisha au umesahau kuwa ililala mbele kupima.
ahahaaa haya mkuu ila sup itakuja endapo tu atafeli kihalali sitaki hili liingiliane na masomo yake ingawaje kutoswa kunauma bora kibuti
 
Huyo hana lolote la maana

Ameona alishapoteza anataka akuharibie

Lakini hata bila kuuliza humu, wewe si ulishaona kwamba sio mwaminifu???????????????

Kama unataka kujilipua sawa

Na usisahau ane ua kwa upanga atakufa kwa upanga , wewe unae wa kwako unataka umpeleke wapi?????

Labda kama hii ni Hadithi na haina ukweli
Mkuu sina muda wa kutunga hadithi its real thanks kwa ushauri wako naona ni sahihi zaidi coz kujilipua na ujana huu noumer
 
Mkuu unapoteza muda tu huyo dada atakutegea ujauzito halafu itakuwa ndo gear ya kumuoa ameshaona ramani yako imesoma sasa anataka kurudi maana anajua maisha yatanyooka ugali wa watoto utapatikana bila shida na hata usafiri atapata hata kama sio sasa ila baadae,kama aliweza kukusaliti mwanzo usifikiri amebadilika hiyo ni tabia na usifikiri utaweza kuibadilisha labda kwa neema ya Mungu,achana nae kabisa tena awe mbali nawe utabeba magonjwa ambayo hutaamini ulimwengu huu kaka na magonjwa haya wala usiuchezee kama uliweza kuwa mwaminifu na mvumilivu kipindi chote endelea na msimamo wako uko mpango wa Mungu mzuri mbele yakomara nyingi jambo fulani linapotokea jiulize kwanini limetokea maana Mungu hutuepusha na mambo ambayo si mpango wake bila sisi kujua lakini kwa akili za kibinadamu ukiona aerudi unasema kajileta kumbe ibilisi unakuwinda upate magonjwa.

Asante sana ndugu yangu nimesoma ushauri wako kwa makini sana nimekuelewa vizuri sana thanx
 
Katika kitu ninachopinga kwenye mahusiano ni hii mambo mpaka tuoane ndo to do.Haya ndo maumivu yake sasa ungem do hata usingefikiria hapa
 
Huyo mpotezee hana maana. Unaweza ukamrudia akakutangaza darasani, unauliza swali ananyoosha kidole peke yake darasani huku wanafunzi wengine wakinong'ona Shemeeejiiiiiiiiiiiii
 
piga chini mwana kama kweli una she mwingine unamkubali...huyo hana lolote anatafuta maisha ya mteremko hapo chuo, kama vipi mkazie tu....madem bwana ukiwa hauko poa wanambwembwe kinoma, ukiwa safi tu wanakuwa wapole kama kobe...piga chini

kaka ukosahihi sana, hawa watu kama huna kitu (pesa), wewe si mtu kwao... Anaweza hata akakuitia mwizi mbele za watu! Lakini ukirekebisha tu hao wametua wanakuwa wapole kama kobe hivi. Bible haikukosea iliposema tuishi nao kwa akili. Full pasua kichwa hawa. Loh. Huyu jamaa asonge mbele tu... Huyo ni msaliti tu hana lolote.
 
we mwambie course work utamsaidia, mtihani atajua mwenyewe, asikuzinguwe:embarassed2:
 
huyo achana naye hana jipya.tunataka watu wanaojua kusimama peke yao sio wanaoyumbishwa na position uliyonayo.mheshmu uliye naye saizi.
 
Una hamu nae kwa sababu hukuwahi kumtafuna, achana nae atakuharibia.
 
Back
Top Bottom