Alinikataa enzi zile, nikaoa mwingine leo kaja tena yuleyul, anataka ku make love na mimi

Huyo hakupendi ni pesa tu ndo anakutakia. Sasa kwa nini unaenda kwake? Unampa pesa ya mtaji n.k. Mmmhh

Ukiendelea nae lazima atamwambia mkeo yeye yupo tangu kabla yake na hapo utakoma. Kweli weye softi yaani unamlilia mwanamke na u weak wako ndo maana anakuchezea hadi leo.

Weka pesa zako kalee familia na usimpelekee mkeo magonjwa.

Utajuta usipoacha, nitaku noti jina lako humu nikisubiria kuona unasema nini mbeleni.
 
Hongera kwa juhudi hizo ndugu yangu. Kwa uzoefu wangu mdogo ninahisi hizo mimba alizokua anakuambia hazikuwepo ila alikuwa anataka kukuvuta karibu au alikuwa anataka kuhakikisha km unampenda.ushahidi ni mdogo kukubali kuwa mimba inaweza kutolewa ndani ya 2 weeks bili hata wewe kujua...
nashauri kaka yangu achana nae coz anachotafuta ni kuzaa mtoto kwa kua umri wake umeenda na yawezekana hana mapenzi ya dhati kwako.
kila la heri mkuu
 
Habari zenu wapenzi wa kona hii,

Nimekumbwa na na mkasa huu miaka sita sasa, nilimpenda dada huyu sana wakati nasoma pale udsm, yeye alikuwa famasist ubungo, nilikuwa nilitoka hosteli naishia kwenye famasi yao, nikaimbisha sana, akakataa kabisa, nililia sana, wakati mwingine nikiwa namsindikiza, nalia njiani, lakini waapi, nilijitahidi sana kumbembeleza na kama ilivyo tabia za wanawake wengi alikuwa anakajihuruma kwa mbali.

Nilikuwa nakosa lecture chuo, nikiwa nambembeleza yule dada, niliona kazi inanishinda, nikaamua kumfanyia utafiti, kutafuta tatizo, alikuwa pana njia alikuwa hapendi nikikatiza nae, mara tano hadi sita hivi aligoma kabisa kupita ile njia, nikamfwata bila kujua kila siku nikijua muda wa kutoka umekaribia naaga then siendi mbali, nakaa sehem then nafwata nyumanyuma! nikashindwa kuona kitu chochote, siku moja nilifanikiwa kumuona mtu mmoja ambae nilihisi kitu, sikuwana papara kumhoji juu ya jamaa, siku ya siku nilimwuliza jamaa yule anaitwa, kwa kuwa nilikuja kumuona tena maeneo ya sheli buguruni akienda pale kila siku jioni, pale jamaa alikuwa akifwata makusanyo ya kutwa za daladala zao...nikagundua mshikaji ni watu wenye uwezo, na anaua kuendesha nikaona nijifunze kuendesha, nikafanya hivyo.

baadaye nikawa mjuzi nikawa naomba gari naenda nalo hadi kwa binti. nilizaliwa mwaka 79, yule dada ni wa mwaka 75, ni mkubwa kwangu, nikajipaisha hadi 74, nimzidi japo mwaka mmoja.

baadae niligundua mbinu zangu hazisaidii, niliona zile za kuwa mnyonge ndizo safi, nikaendelea safari hii, nilitafuta namna ya kukutana nae karibu na kwao tena usiku, nikawa namuacha anaondoka kwao mimi naenda najipitisha kwao mara moja hadi mbili, akiniona basi macho yake muda wote huangalia eneo nililopotelea kumbe nimejificha kumcheki, baada ya kuona anahangaika, safari hii nilitafuta sehem nzur ambayo hata yeye pangemfaa kukaa usiku tukiongea.

nikafanya mpango kutembelea kwao muda wa mchana wao wakiwa kazini, nikapita maduka ya karibu na kwao kufanya ukachero, nikiwauliza kwa siri sana wauza duka mmoja mmoja, kama wanamjua yule dada na labda anatoka na jamaa gani, nilikosa majibu mazuri, wengi waliniambia pana jamaa mmoja alimaliza SUA na hawapo pamoja kwa sana.

Ni mwaka kama wa pili sasa tangu nianze mapenzi ya tamthilia na huyu dada, nilikuwa nimechoka kwa kweli, huku nikiwa nakwenda chuo kufanya SUP zangu na special exams, usiku mmoja saa sita nilimdanganya kuwa nipo nje kwao, akatoka nikamwambia nimeshaondoka maana mateso yake nimechoka, siku iliyofuata ndiyo niliyotinga pale mahala saa mbili usiku, akaja tukaongea sana, kwa mara ya kwanza nikafanikiwa kumshika kumkumbatia, nikalia sana nikiwa nimemkumbalia kichwa/uso wangu ukiwa begani mwake machozi yakawa yamelowanisha bega, leo alishikwa na mshangao na akawa amenionea huruma ya ajabu, nikashusha mkono mpaka ndani ya ch5%^%pi mh nilishikaa nikaacha

siku iliyofata alipagawa sana, safari hii ilikuwa kichochoro cha kwao, niligundua kumbe akiwa kwao anauhuru wa kuvua, kichochoroni nilimuinamisha, ikakataa nikamuweka staili ya kumuomba mungu. omg alipata mimba sku hiyo, wiki mbili baadae akaniambia anamimba na ameitoa.

sikumbuki kwa sababu nilimpa mimba nyingine akaitoa, zote bila kuniuliza chochote, nilifanikiwa kupata sponsa nikasoma ulaya miaka kama minne, wakati nikiwa bado sijaondoka nchini niliamua kuoa mtu mwingine, huyu mwanamke sijgundua alikuwa anataka aolewe na nani, kuabot kulikatisha tamaa kabisa.

wakati nikiwa ulaya alianza kunipigia, sana nikamtumia mtaji, aliniomba kwa makubaliano kuwa biashara ni ya pamoja, nakuja hajafanya kitu..nikanyamaza kimyaaa.

nilirejea rasmi nikaanza kazi na nikawa na maisha yangu, na yeye akawa hana mtu yyt anaemtaka na amezeeka, sasa alifata siku moja nikamwambia no ningemtembela, nilikwenda kwake kwa kweli alinipa kitumbua nikala. sasa kumbe alitegesha nimpe mi mimba, nilivaa soksi hakutaka, sasa baadae akanipa mkanda wote, kuwa hapati mimba, na amepewa dawa anywe, kwa mf. j3,j4 then jumatano nikale sambusa.

nawaza ingawa jibu ninalo, sitaki mtoto wa nje na kumkaza nataka, kuvua soksi sitaki

nimekaa chonjo jamani,

Wewe naona unalitamani sana boksi
 
Yaani wewe pamoja na kusoma kooote bado hujajua tu kwamba ngono nzembe ni hatari kwa maisha yako na mkeo?????. Kumpa mimba maana yake wewe unapiga kavu kavu tu wakati kuna condom hata za TZS 100.00 tu!!!!!!!. WEWE hovyo kabisa
 
Dah! Dunia sijui inapokwenda, Imagine mtu aliyeoa anakuuliza swali hilo!
Ila mkuu, duh! technique zako za kutafuta noumer...Hivi kumbe kumpata mwenzi si kazi ya kitoto! Mi nlidhani unabisha hodi mara3 kama kimya unenda bisha hodi kwengine kumbe unatakiwa kung'ang'ana hadi uvunje mlango!
 
Vipi wewe hutakuja kuolewa? Au huna mpango kama huyo Dada zamani halafu sasa hv anazitafuta

wanaume wenyewe wa kuoa ni kama huyu au kuna wengine?kama kuna wengine ntaolewa lakini kama ni design ya huyu ambao ndo wamejaa mtaani NO THANK YOU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom