Alikuwa Milionea, Hivi Sasa Anakusanya Taka

Kuna wimbo wa Zamani Wa Tupa tupa masikini hakuusikia au pengine Na sie Watanzania Hatuna Mambo ya kutranslate Nyimbo zetu.

Eeeh! Jamani nawahusia Walimwengu Mkiacha Tamaaa hamtapotea!
Kama mimi jamaa aah! Nimepotea,

Nikipita Mitaani Tupatupa kapita,

Nikiingia kwenye baa Tupatupa kaingia jamani,
Aliachiwa Mapesa Mengi ya Urith akayatumia hadi kuitwa Tupatupa,
Mwishowe akawa Fukara.


Au Ule wa
Chaemsha Bongo kabla hujashangaaa Ukaduwaa,
Chemsha Bongo kabla hujapagwa Ukadumaa Prof. Jay.

Mimi nikizishika naoa Mke mmoja tu Wa Kufanana na AfroDenzi Then Starehe kidogo na ajili na manager kabisa
 
Mi sioni tatizo pesa alizitumia kwa jinsi alivyopenda sasa zimeisha maisha yanatakiwa kuendelea. Mlitaka afanya nini?? Ukipata pesa lazima zitumike uwe umejenga nyumba, umehonga, umenunua gari au umezitumia kwenye ulevi vyovyote vile. Kila mtu ana jinsi yake ya kutumia pesa.Sioni sababu ya kusikitika unadhani hayo matanuzi angeyafanya lini?
 
Back
Top Bottom