Aliko Tundu Antipas Lissu

Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

Jamani mbona yupo Singida! Ana kesi ya kupinga ushindi wake katika uchaguzi uliopita!
 
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

Yuko jimboni kwake anapambana na kesi iliyofunguliwa na waccm kwa ajili ya ubunge wake
 
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

Tundu Antipas "SHIMO" Lissu yupo Singida busy na kesi ya uchaguzi. jumanne atakuwa Dodoma-Mjengoni!
 
Yuko jimboni kwake anapambana na kesi iliyofunguliwa na waccm kwa ajili ya ubunge wake

Anawapeleka mpute mpute magamba kweli, daily wanajikaanga katika ushahidi. shukurani kwa mkuu ISANGO kwa updates!
 
Mkuu,naomba nikuulize maswali dogo matatu:
1:Unaishi naye nyumba moja?
2:Kwa Mara ya MWISHO kabla ya hizi TETESI ulimuona lini?
ASANTE KWA USHIRIKIANO!
 
Naam, yote mema, tutapambana kweli kweli mwaka 2015 kuhakikisha nchi hii inakombolewa kutoka kwa wadharimu!
 
jamani kwa yeyote mwenye taarifa yu wapi mbunge machachari wa chadema tindu lissu?kwa kumbukumbu zangu hata armeru sijamuona

kamanda lissu alikua jimboni kwake singida, ana kesi ya matokeo ya ubunge wake, na anajisimamia mwenyewe kama wakili.
 
Wewe unayemwita kamanda Lisu kilaza utakuwa na matatizo na huenda ukawa kichaa anytime. P****u
 
yupo busy na maandalizi ya bunge....do u think kuw mbuge bora ni mzaa unaitaji kuchipanga vizuri....in cdm pana mgawanyo wa majukumu yanayoonekana na yenye focus and that why magamba hawatakaa watulie kabisa kila kukicha watakuja na mikakati ya kuwaondosha hawa makamanda mjengoni bila mafanikio....that why aliwaambia kuwa msufurahi kuwa Dr. Slaa hayuko bungeni kwani yeye ni zaidi ya slaa wanne.....viva cdm
 
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.

Jimboni kwake
 
Back
Top Bottom