Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
...wapi.. Kigamboni?Hivi kule hakuna walio na elimu zaidi ya darasa la saba, ambao wangegombea kwa chama hiki?

katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Si haki na ni udhalishaji mkubwa unaofanya! Amekosa nini kutumia haki yake? Na huo wingi wa wasomi ulioko Tanzania umesaidia nini? Bado ni taifa masikini mbali ya kuwa na rasilimali. Kila msomi anakimbia elimu yake na kwenda kuuza maneno Bungeni . Hivyo kutukanana na kulumbana kwenye siasa hizi za Tanzania kunataka Digirii? Sifikiri kama elimu inahitajika ili ukae kenye kiriri na kuwadanganya watu maisha bora na huku umasikini ukizidi au kukaa kwenye kiriri na kuwafanya waliokata tamaa na maisha kupambana na dola! Infact sioni tofauti kati ya waliosoma na wasiosoma kwenye siasa wote ni waongo na wasio na soni katika kupata maslahi yao.
unataka kumuajiri?Kuna mtu ana CV yake hapa kabla hatujaongea majungu tu? Please cv ya mgombea mwenza.
Samahani hebu naomba nikumbushwe jina la yule mgombea mwenza.