Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

Haki yake ya kikatiba kuwa mgombea mwenza darasa la saba sio tatizo, Muheshimiwa Said Mzee Said, nadhani saizi kapumzika mambo ya siasa, huwa nakumbuka siku Chadema wanarudisha fomu za urais Mgombea Mwenza Said Mzee Said, alikuwa amevaa shati la rangi ya CUF nikashutuka ilikuwa August 2010 hiyo picha ipo humu JF, Invisible anaweza kutusaidia tumuone Muheshimiwa Said Mzee Said
 
Tatizo ni mfumo wetu kwamba kama rais atatoka bara basi makamu atoke Zanzibar. Chadema Zanzibar haifahamiki kama bara, hivyo aliyepatikana ikabidi aingizwe kwenye mfumo ingawa ilmu yake ilikuwa ya kiwango cha ilmu ya shule ya msingi yakhe. Laiti angejiendeleza katika madrasa ya watu wazima angeweza pata hata advanced diploma.

Lakini si tatizo la chadema maana katiba haitamki kiwango cha ilmu kinachotakiwa kwa mgombea urais au mgombea mwenza. Mbona hata kule kwa Lyamba lya mfipa Kusumbuwanga yametokea, meya kupatikana wa ilmu ya msingi, kisha kushtukia hata hajui kusoma barua za kikazi ikabidi apandeshe mikono (give up mayoral office).

Mtoto wa mkulima hakuliona hilo ili kuokoa jahazi mkoani kwake? Maana ni aibu mkoani kwa waziri mkuu kutoa meya wa ilmu ya daraza la saba.
Endita mkwai, yiposile yonsi.
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Makamba pia ni la Saba.
 
Makamba pia ni la Saba.

Rais Jacob Zuma hajawahi kuhudhuria formal education yeyote ile duniani,hii ikiwa a maana kuwa Rais Jacob Zuma hajawahi kuingia hata darasa la kwanza kupata elimu ya kimagharibi!

Nakushauri mtoa hoja usiwe mvivu wa kupitia biograph za viongozi wetu wa Afrika na kwingineko kabla hujaandika lolote humu!
 
Nashukuru sana kwa mleta oja kwa kweli nimecheka sana kwa comment za humu janvini.
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Hapa kuna mambo mawili au matatu hivi yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.

Kwanza katiba yetu, inaladhimisha mgombea wa Urais akitoka Tanganyika basi running mate (VP) lazima atoke Zanzibar and vice versa. CDM walikuwa wanalazimika kutafuta running mate kutoka ZNZ ili ku-qualify ku-contest kiti cha Urais wa JMT. Katiba mpya inaweza ku-solve hili aidha kwa kuondoa huo ulazima, kuruhusu vyama vya siasa kuungana.

Inavyoonekana ukitoa wapemba (DRS Omari, Shein etc), Waunguja wenye elimu dunia ni wachache, wengi wameenda madrassa. Ilikuwa vigumu kwa CDM kupata running aliyesoma coz WAPEMBA wote ambao ndio most educated ni CUF. (kumbuka majiwe yaliwahi kuwashinda wagombea wa CCM kule Pemba, wao waliita kura za MARUHANI)

This was a real shame for CDM kumsimamisha STD VII leaver as a running mate. Kumbuka huyo jamaa angeweza kuwa Rais wa JMT, kama Dr. Slaa angeshinda na kwa bahati mbaya akafariki wakati ameshatumikia zaidi ya nusu ya term yake, uchaguzi usingefanyika, VP angekuwa Rais kumalizia muda uliobaki.

Kama kweli CDM wana nia ya dhati ya kushika dola 2015, basi hili suala la running mate inabidi waliangalie kuanzia sasa. Wawaandae WAZANZIBARI (zaidi ya mmoja) wenye elimu at least first degree, kama hawana elimu dunia basi waanze kuwapatia, ili ikifika 2015 wasiwe tena na running mate STD VII. Danger ya kumuaandaa mtu mmoja ni kwamba anaweza kununuliwa na CCM zero hours, lakini wakiwa zaidi ya mmoja itakiwa vigumu.

Hii ni challange ambayo CDM inabidi waichukie serious. Ingawa Mzee Kawawa alikuwa STD VII lakini mazingira ya wakati huo na sasa ni tofauti ni aibu kuwa na VP STD VII in the 21st century.
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Unajua Elimu ya Sam Nujoma aliyewahi kuwa raisi wa Namibia na raisi wa chama cha SWAPO? how about Sheikh Amri Abeid Karume?? Hivi Kawawa alikuwa na Elimu gani jamani (vice-president and prime minister) jaribuni kuingia deep kabla ya kupost nonsenses zenu!
 
Mleta hoja ameleta hoja kishabiki,
Kwani katiba inasemaje? Nipeni job description ya makamu wa rais. Ni nafasi imetegeshwa kiaina baada ya kumtoa rais wa zbar asiwe makamu wa rais. Hana kazi zaidi ya kutunza mazingira. Wala majukumu yake hayako wazi. Kwa hiyo, darasa la saba japo si elimu bora kwa vice p. lakini si kosa la jinai kwa cdm kumteua. Anawakilisha watz wengi pia.
 
Rais Jacob Zuma hajawahi kuhudhuria formal education yeyote ile duniani,hii ikiwa a maana kuwa Rais Jacob Zuma hajawahi kuingia hata darasa la kwanza kupata elimu ya kimagharibi!

Nakushauri mtoa hoja usiwe mvivu wa kupitia biograph za viongozi wetu wa Afrika na kwingineko kabla hujaandika lolote humu!
kwa mtu makini hawezi kumfananisha Zuma na yule poyoyo(mgombea mwenza) wa chadema,na asilani Dr Slaa hawezi kumfikia bwana Zuma kwenye harakati za chama,na ukiondoa Nyerere huwezi hata kumlinganisha na kiongozi mwingine katika ukanda huu wa afrika mashariki! yule mgombea mwenza wa cdm kwakweli elimu yake ni ndogo sana na hata uwezo wake wa kujieleza ni mdogo sana,sipati picha kama angetembelewa ofisini kwake na Obama,obasanjo,Angela Markel angeweza kutoa point gani?
 
Kampeni na uchaguzi zi vimeisha? Sasa mwamtakia nini kwani yeye ni mtendaji wa CHADEMA? si alikuwa mgombea tu...
 
kwa mtu makini hawezi kumfananisha Zuma na yule poyoyo(mgombea mwenza) wa chadema,na asilani Dr Slaa hawezi kumfikia bwana Zuma kwenye harakati za chama,na ukiondoa Nyerere huwezi hata kumlinganisha na kiongozi mwingine katika ukanda huu wa afrika mashariki! yule mgombea mwenza wa cdm kwakweli elimu yake ni ndogo sana na hata uwezo wake wa kujieleza ni mdogo sana,sipati picha kama angetembelewa ofisini kwake na Obama,obasanjo,Angela Markel angeweza kutoa point gani?

Sina hakika kama hili lina ukweli kwakuwa hakuna platform sawia ya kuwalinganisha. Mazingira yao (ya kisiasa na kiutendaji) ni tofauti sana. Wakati wa Zuma hoja ya nguvu ilikuwa muhimu na wakati wa Dr. Slaa nguvu ya hoja ni muhimu sana...
 
USA iliwahi kuongozwa na rais ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alitenda majukumu yake yote na akamaliza kipindi chake vizuri.Hapa TZ tuna wasomi wa vyeti wengi tu,lakini huwa najiuliza mbona wageni kutoka nje ndio wéngi kwenye kazi zinazotaka proffesionals,mbona siwaoni wa TZ wàkipenya soko la ajira kwa majirani zetu KENYA,UGANDA na RWANDA???
 
kwa mtu makini hawezi kumfananisha Zuma na yule poyoyo(mgombea mwenza) wa chadema,na asilani Dr Slaa hawezi kumfikia bwana Zuma kwenye harakati za chama,na ukiondoa Nyerere huwezi hata kumlinganisha na kiongozi mwingine katika ukanda huu wa afrika mashariki! yule mgombea mwenza wa cdm kwakweli elimu yake ni ndogo sana na hata uwezo wake wa kujieleza ni mdogo sana,sipati picha kama angetembelewa ofisini kwake na Obama,obasanjo,Angela Markel angeweza kutoa point gani?

Nina wasiwasi na elimu na uelewa wa huyu mtu!!!
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Umejiunga na JF lini vile?
 
kwa mtu makini hawezi kumfananisha Zuma na yule poyoyo(mgombea mwenza) wa chadema,na asilani Dr Slaa hawezi kumfikia bwana Zuma kwenye harakati za chama,na ukiondoa Nyerere huwezi hata kumlinganisha na kiongozi mwingine katika ukanda huu wa afrika mashariki! yule mgombea mwenza wa cdm kwakweli elimu yake ni ndogo sana na hata uwezo wake wa kujieleza ni mdogo sana,sipati picha kama angetembelewa ofisini kwake na Obama,obasanjo,Angela Markel angeweza kutoa point gani?

Umebadili mada?Mada yako ilisema ktk Bara la Afrika zaidi ya Idd Amin Kaidada haijapata kupata Rais mwenye elimu ya Darasa la 7;ndipo hapo tukakujibu kuwa Rais Zuma yeye hata hilo la Darasa la Saba hajafika!Na uzuri zaidi wachangiaji wengine wakakuletea mifano mingine ya viongozi walio wahi kushika nafasi kubwa kwa elimu ya Darasa la 7 akiwemo Rais Sam Nujoma wa Namibia na hayati Sheikh Amri Abed Karume wa ZNZ!

Sasa kama umebadili hoja na kuleta hii mpya ya"utendaji mzuri wa Zuma na kutowahi kwake kusoma hata darasa la kwanza"basi nakushauri fungua mada ingine mpya tuanze kuijadili maana hii uliyoleta ninahisi haukuifanyia uchunguzi wowote ule!

Kwa hitimisho,kuna Ma-Rais wengi tu duniani ambao walifika tu darasa la 7 na huyu VP wa CHADEMA asingekuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo!
 
katika uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010 kulikuwa na kioja kimoja ambako mgombea mwenza wa Dr Slaa ambaye alikuwa na elimu ya darasa la saba hii ni ajabu sana kwa chama chenye kujivunia wasomi lukuki! huyu bwana yuko wapi asa hivi mbona hasikiki? na mbona kwenye shughuli mbalimbali za chama haoenekani?? unajua laiti Slaa ,yule mgombea mwenza wake angeshida angeingia kwenye kumbukumbu za dunia" a standard seven leaver being the vice president" kama sikosekei mtu mwingine mwenye elimu ya msingi ambaye aliweza kushika nafasi za juu za nchi katika ukanda wetu huu ni Idd Amin

Umbumbumbu gharama.
 
Hivi rais Reagan mcheza sinema anayesifika Marekani na dunia nzima alikuwa na Elimu gani ukichukulia kwamba ndiye akiyeleta mageuzi ya Kiuchumi miaka ya 80's...
 
Fact nyingine bwana?
Hivi sie tunaotumia JF si wote tuko online?
Mbona facts zetu zinashangaza sana?
kila mtu anakumbukumbu fulani, na kwake hio ndio fact.
Vitabu vimejaa kila mahali, kusoma ndio shida. Sasa kukaa kimya nayo pia shida? au kuuliza?
 
Back
Top Bottom