Tetesi: Alikiba alipwa mabilioni uzinduzi wa Tecno Phantom 6 plus huko Dubai!!

Hakuna jipya.......mikwala ya media........hao techno wangekuwa na hiyo function wangemchukua diamond
 
Hii ni kweli kaingiza mshiko wa maana
Jamaa ana zali la mentali
Huko mtv anawania tuzo ya colaboration
Hapo hapo amepangwa kutumbuiza stejini na kina yemi alade
Kana kanyota ka bahati kweli hivi sasa
Hongera king kiba
 
Alikiba yuko vizuri mimi huwa napenda sana nyimbo zake huwa anazipangilia harafu anasauti nzuri ya kuimba na lingine kubwa nyimbo zake huwa zina ujumbe unaoleweka ukisikiliza unapata msg tofauti na diamond ingawa diamond ni msanii mkubwa lakin anavyoimba havieleweki.

Mkuu punguza mahaba....kama havieleweki kawaje msanii mkubwa?
 
Jiongeze kidogo-- wangekuwa na mabilioni ya kulipa pro tu basi hata wasingetafuta soko Dubai
 
Back
Top Bottom