Alijaribu mara 1 na sasa kanogewa NIMSAIDIEJE?

Hii Dunia sijui inaelekea wapi machoko wamekuwa wengu sasahivi m epukane na hizi tamaa jamani,yaani mwanaume unazaliwa rijali dushe inasimama vizuri,kwenu hajawahi kuwepo msenge hata mmoja hata ukoo wenu pande zote,Sasa iweje wewe uamue kuwa punga??shiit!!
 
mmm nimefahamu vizuri au nimekosea,sasa huyu jamaa anatamani kivipi yani kama alivyofanyiwa mara ya kwanza kwa makosa au ana tamani tamani tuu? mbona sielewi aseme khasa nini anataka asaidiwe?
 
Ninae rafiki yangu ambae ameamua kuweka wazi swala linalo msibu,Alifanya
Mapenzi na rafikie wa kiume(hawakukusudia) lkn katika michezo ya kushikana shikana
Walijikuta wanaishia kufanya mapenzi(akiwa hajafikisha miaka 20) anasema alipata maumivu
Lkn tangia hapo mpk leo(ana miaka 27) hisia zake kimapenzi kwa wanaume ni kali kuliko kwa wasichana
Na anaomba msaada TUTAMSAIDIAJE?
Kwa maelezo yake hajarudia tendo hilo lkn ndo hivyo anawa feel wanaume na hata akiwa na wasichana
Anakua haridhiki na tatizo kubwa limekuja sasa kwa sababu anataka kuoa na hajui afanyeje ili awe
Kawaida.....!!
Akuna shida ukisema ni ww unaye taka ushauri usiogope fanya ku ni pm tuone tutalimaliza vp ili tatizo
 
Ninae rafiki yangu ambae ameamua kuweka wazi swala linalo msibu,Alifanya
Mapenzi na rafikie wa kiume(hawakukusudia) lkn katika michezo ya kushikana shikana
Walijikuta wanaishia kufanya mapenzi(akiwa hajafikisha miaka 20) anasema alipata maumivu
Lkn tangia hapo mpk leo(ana miaka 27) hisia zake kimapenzi kwa wanaume ni kali kuliko kwa wasichana
Na anaomba msaada TUTAMSAIDIAJE?
Kwa maelezo yake hajarudia tendo hilo lkn ndo hivyo anawa feel wanaume na hata akiwa na wasichana
Anakua haridhiki na tatizo kubwa limekuja sasa kwa sababu anataka kuoa na hajui afanyeje ili awe
Kawaida.....!!
Hiyo ni polite way ya rafiki yako kukuomba umfanzie usodoma. kwepa majaribu.
 
Back
Top Bottom