Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Shein PhD yake kaipatia chuo gani, nchi gani, na mwaka gani?
Nkwingwa....Jamaa kapiga shule ya ukweli aisee...Shein PhD yake kaipatia chuo gani, nchi gani, na mwaka gani?
Mkuu kwa taarifa yako Dr Ndalichako ndiye mtaalamu pekee wa mambo ya Measurement and evaluation hapa nchini. Ndiye pekee mwenye PhD iliyospecialize kwenye mambo hayo ya mitihani. Sina wasiwasi wala sijawahi kupata wasiwasi juu ya elimu ya Ndalichako kwa kuwa namjua kwamba ni mmoja ya wanawake wenye uwezo wa juu sana. Na PhD yake si ya nusunusu kama nyingi mnazozijua.
Kuhusu kufutiwa matokeo wanafunzi 50 wa darasa moja halafu mmoja anabaki, inaweza kutokea kwamba huyu mmoja alikuwa ni mlokole,alikataa kupokea majibu kutoka kwa walimu wake.
Jambo zuri ni kwamba Dr. Ndalichako amekuwa akitoa ushahidi kila mara anapohitajika kufanya hivyo, kupitia vyombo vya habari na mahali pengine juu ya ukweli wa matokeo hayo. Watu wa Zanzibar mmezoea kuiba mitihani ndiyo maana matokeo ya mwaka huu yamewachanganya sana.