Nashindwa kuelewa toka juzi shilimgi ya tanzania imekuwa ikishuka kwa kasi ya ajabu lkn kifika leo mida ya sa 10 ikabadilika hadi kufikia sh 1600 Kwa dola 1 Wakati ilikuwa 1875 Asubuhi,jamani nani anachezea uchumi huu,ni watu kiasi gani watakuwa ameingia hasara kwa siku izo silizo pita,yani apa kunashida kwenye hii serikali