Alie keketwa anafika kileleni

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
WANA JF NIFAHAMISHENI HILI KWANI NAJUA KWAMBA PALE PATAMU NI HAPO AMBAPO BAADHI YA MAKABILA AU MILA HUWAGA WANATOA JE INAKUWAJE KTK MAMBO FULANI HUYU SI INAWEZA IKACHUKUA SIKU MZIMA KUENJOY MAMBO YETU YALEE KWANI UTAMU UMEONDOLEA KWA SABABU ZA KIMILA
pLEASE NIJUZENI KWANI KUNA WANGU FULANI NAMFUATILIA YUPO BOMBA ILA NASIKIA AMENALILIII
COQUEST-UTAMU WA PIPI UTOE GAMBA:A S thumbs_down:
 
Siyo lazima iwe hivo unavyozania wewe.
Kilele hufikiwa hata pasipo kuwa na kile kitu...ujuzi wako wewe tu.
 
Siyo lazima iwe hivo unavyozania wewe.
Kilele hufikiwa hata pasipo kuwa na kile kitu...ujuzi wako wewe tu.

Kile kitu ndio source ya kumpa mwanamke raha, so kama haipo ni vigumu sana kuweza kumfikisha mwanamke kileleni maana hata wenye navyo unahitajika utundu wa hali ya juu kuweza kumfikisha kileleni.
 
ok nitajaribu mautundu ila ikiwa ndivo sivo namwacha ni sawa na kuwa na pengo ukakataka kutafuna mfupa hapo vipi tausi
conquest treni bila reli haiendi
 
WANA JF NIFAHAMISHENI HILI KWANI NAJUA KWAMBA PALE PATAMU NI HAPO AMBAPO BAADHI YA MAKABILA AU MILA HUWAGA WANATOA JE INAKUWAJE KTK MAMBO FULANI HUYU SI INAWEZA IKACHUKUA SIKU MZIMA KUENJOY MAMBO YETU YALEE KWANI UTAMU UMEONDOLEA KWA SABABU ZA KIMILA
pLEASE NIJUZENI KWANI KUNA WANGU FULANI NAMFUATILIA YUPO BOMBA ILA NASIKIA AMENALILIII
COQUEST-UTAMU WA PIPI UTOE GAMBA:A S thumbs_down:

jaribu kupitia thread nyingine hii hapa kwa habari zaidi https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/62993-nitamu-handle-vipi-mwanamke-aliyetahiriwa.html
 
poa mkubwa nimekusoma vilivo ila pole sana jamaa yangu uliepelekwa kunako gharika tuwe waangalifu jamani wanawake wengi sasa usipokuwa mwangalifu wanakutoa out means wanakupeleka kinyume na maumbile sasa ni balaa jamani
Conquest kivuli chako lakini uwezi kuona macho yalipo
 
Back
Top Bottom