Alichosema mtatiro kuhusu vurugu za zanzibar

Kaibukia zanzibar na vyeti vyake feki?......karibu tanzania ya porojo bwana mtatiro...
 
Ndugu yangu Mtatiro, umenishangaza zaidi kwa kauli hii "Hapo ndipo itaibuka vita kamili ya dini ya kikristo na kiislamu(Naomba haya yatokee wakati sipo duniani, naomba nisishuhudie ukatili wa Rwanda ndani ya nchi ninayoipenda kama Tanzania)"
Kwa maana yangekuwa ndo maombi ya Nyerere huu ungekuwa ndo wakati wake kutimia? Fikiria wewe ndo uko duniani, kwa maana kumbe wewe unajenga Tanzania ambayo we uko hai tu?
Kama nyinyi ndo viongozi mnaokaa meza KUBWA mna mawazo hayo, huwezi kujiuliza juu ya huyu mtu wa UAMSHO unayemtetea kuwa hana dini anapoelezwa kuwa Zanzibar ni ya Watu wa imani fulani atafanya nini kama si kuteketeza kizazi cha MAKAFIRI?
Waza zaidi juu ya hayo unayoyaita mawazo yako binafsi, yasije yakawa ya woga kwa kuhisi kuwa utakikosa kiti kikubwa unachokalia iwapo utaongea mawazo yako halisi.
MTATIRO ni GOGO la chooni!! Akina maalim na Lipumba wakimaliza haja kubwa watalitupa tu yetu macho na masikio!!
 
Mtatiro anajaribu kuficha ukweli haikusaidii ndugu yangu,mbona ukweli unaonekana walianza na KUCHOMA BAR kwa kisingizio cha UDINI na hapo walegwa ni watu wabara,sasa imekuja MAKANISA walegwe ni watu wa bara sasa mtu mwelevu ataona kabisa kuwa TATIZO NI MUUNGANO cha msingi kama wanataka kujitega wajitege tu wana haki ya kusema hivyo,na ila wajipange tunakata umeme,na wazanzibar waliopo kariokoo nao wajipange kuondoka kwenye maduka wakafanye kazi ya kuchimba mafuta zanzibar ndio yanaowatia KIBURI
 
Wanaharakati msipate tabu wala msitumie nguvu nyingi kumcrtisize uyu bwana,jambo la msingi atuwekee ushaidi hapa JF wakutosha(credible evidence)kwamba waliosasababisha na kufanya uwalifu huo si UWAMSHO bali ni hao watu anaowasema thn tukiridhika nao ndio tunaweza kujaribu kumuelewa.lakini sio kututungia hadithi za dhahania
 
Pumba tupu Mtatiro! siasa haikufai kaka rudi kwenye taaluma uliyosomea. Hapo CUF wanakutumia tu kama Muhuri lakini hawakupendi CUF japo mwanzilishi wake alikuwa Mkristu (James Mapalala) wahuni kina Maalim Seif/Lipumba wakampoka chama hata hii ndoa ya CCM na CUF imefanikiwa kwa kuwa Ba Riz(CCM) na Uongozi wa juu wa CUF dini moja wanajadili mambo yao msikitini ambako wewe Mtatiro huwezi kuingia. SHTUKA MTATIRO UNATUMIWA na wewe kwa sababu una njaa unakubali bila kujijua.

Wewe una akili ama kiporo cha ulenda ndani ya fuvu lako?
 
Wanaharakati msipate tabu wala msitumie nguvu nyingi kumcrtisize uyu bwana,jambo la msingi atuwekee ushaidi hapa JF wakutosha(credible evidence)kwamba waliosasababisha na kufanya uwalifu huo si UWAMSHO bali ni hao watu anaowasema thn tukiridhika nao ndio tunaweza kujaribu kumuelewa.lakini sio kututungia hadithi za dhahania

Kama ukisikiliza kwa makini hutba hii utagundua kwamba akina Mtatiro wanajaribu kuiita "spade" kuwa "a very big spoon." Kuna mambo mengi sana yanayoashiria hamasa dhidi ya wakristu na mali zao. Zanzibar imafananishwa na Makka wakati wa mtume na kwamba ni nchi tukufu. Pia kwamba Zanzibar kuna elimu ya hali ya juu ya dini na ndio sababu za kuleta muungano ili wasiwabatize Afrika Mashariki yote kuwa waislamu. Imetolewa mifano mingi ya vita vya mtume kama vile Badr n.k. na kuoanishwa na Zanzibar ilivyo sasa katika muungano. Kwamba ardhi ya Zanzibar ni ya Allah lakini imeporwa na muungano. Sasa sielewi ni kwa vipi unaweza kuutenga uislamu na matukio yanayoendelea Zanzibar. Matamko ya sasa ya viongozi wa dini wa kiislamu kimsingi yanalenga kumpaka mafuta adui kwa mgongo wa chupa. Yalipaswa kutolewa wakati mihadhara hii ilipokuwa inashika kasi. Mwisho kabisa ukweli utasimama daima. Call a spade, SPADE!



 
Last edited by a moderator:
Huu upuuzi ndio unaudhi bila kipimo eti kiongozi wa kanisa achome kanisa!! hii ni akili ya ndege au panya kabisa kwa wale wenye mawazo kama haya!!

Kaka inategemea kuna nguvu gani nyuma ya huyo muumini...na umri wangu mdogo hii kauli achana na pesa bana ni halisi sana
 
umenena ndugu,
wambie na ao wehu wakibara,
waache ku2ngangania,
2ko tayar 2kose sote,unles mu2achie nchi ye2,
wezi,wahuni,wanyama nyinyi,2peni nchi ye2 mijizi mikubwa

Punguza munkari kaka haisaidii, jadili hoja moja kwa moja na toa ufumbuzi wa tatizo
 
Kweli Nyani haoni KundulE

Acheni kauli za matusi mjadili hoja, kila mtu ana uhuru wa maoni but uhuru huu usitumike kukwaza wengine, nyumba ni yetu sote kwanini tugombee fito? kwa hali hii naililia nchi yangu

  • A%20S%20cry.gif

 
walewale wasifikiri vizuri sasa mtapata nchi kwa kuchoma makanisa???? kwani wakristo ndo waliochukua nchi yenu ??? you are not great thinker..... please admin. get this hell out of here
 
Unaonekana ndio uliyewasha moto huo kwa kauli zako pumbavu wee, nyie waislamu hamna akili majuha wakubwa msio na elimu

Acha udini mkuu jadili hoja, cdhani kila mwislamu au mkristo (for that matter) ni mpenda fujo na hana elimu, akili ndogo siku zote hushupalia mambo madogo, ukabila, udini, ukanda what for? kwani Mwenyezi Mungu angependa c dunia ingekuwa na dini na kabila moja? uvumilivu unahitajika tafadhalini bandugu
 
Mtatiro umewahi kusoma Quran na kuona kilichopo? Unafahamu kuna kitu kinaitwa Jihad? Unajua hiyo Jihad inapiganwa kwa namna gani? Unajua Jihadi ni nguzo mojawapo ya Uislamu?
Ukielewa hayo, basi njoo na hoja zako kwamba wanaochoma si Waislamu. Kwanza umekuwa nani mpaka useme si Waislamu? Acha uoga wewe! Pia acha kufikiri kwa ajili ya tumbo lako tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom