Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,441
Kuchoma makanisa ni jambo la hatari sana, sielewi anayefanya hivi yeye ni dini gani, sijui ni dini ipi inayoruhusu uchomaji wa nyumba za ibada za dini nyingine, ni dini ya shetani peke yake inaweza kufanya hivyo.
Watake radhi waislamu wa Uamsho kwa kuwafananisha na mashetani