Alichoongea lipumba ni sahihi??????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Nimemsikia lipumba anasema watanzania walioajiriwa
kwenye sekta ya viwanda ni elfu 62 tu.......
Nimebaki mdomo wazi........

Ndo maana serikali ina nguvu sana.....
Serikali ndo muajiri mkuu wa ajira rasmi tanzania.....

Sasa watanzania milioni 21 wenye uwezo wa kufanya kazi wapo
sekta zipi???????????????
 
Hivi industry vipi zinaongoza kwa kutoa ajira tz???????
 
Mi kaniacha pale aliposema kuwa kila mwanafunzi Tanzania atakuwa na Laptop....sijui ni za kichina au midoli kwani sijui tutazitumia kwenye umeme gani au ndo tutaenda kuchajia kwa jiarini kwenye jenereta na Invetor au solar???
 
mbona unapindisha mada. Au kwa sababu aliesema si slaa?
 
Hivi industry vipi zinaongoza kwa kutoa ajira tz???????

Heshima kwako The Boss,

Sina hakika sana nadhani viwanda vya nguo vinaweza kuongoza kwa kutoa ajira kwa wingi.Mkuu chanzo changu ni May day nimeshuhudia maandamano yakitawaliwa na viwanda vya nguo.Ukibahatika kuwaona waajiriwa wa kiwanda cha A to Z na Sunflag utabaki kinywa wazi jinsi walivyo wengi.Inasikitisha sana maslahi yao ni duni kupita maelezo,wanapata mshahara chini ya tsh 100,000/= kwa mwezi no medical allowance,no house allowance kwa ujumla wanapata maslahi duni sana.
 
kinachoshangaza ni kuwa mijadala
muhimu kama hii watu huoni wakijadili.......
ni aibu sana taifa la watu milioni 40
lililopata uhuru toka 61 ,viwanda vinaajiri watu elfu 62 tu....
 
bila serikali kuweka good policy and massive investment kwenye energy sector especially umeme & gas maendeleo tusahau,masoko yapo,wataalam wapo (wakikosa tutaagiza nje),labour ya kumwaga na hata machinery za kufungua hivyo viwanda zinapatikana kirahisi tuu,lakini nani atathubutu kufungua kiwanda Tanzania kwa ule umeme wa bei mbaya kuliko almasi na usioaminika...hii serikali kwa kuweka good policy ambazo zita encourage watu kuweka capital yao kwenye energy sector wangeweza create millions of jobs kwa wananchi,lakini huu umafia wa sasa wa kuipa monopoly TANESCO hakuna mtu/investor mwenye akili timamu anaweza kuwekeza kwenye umeme,umeme ndio engine ya maendeleo, manufacturing industry zote bila umeme ni obsolete....hizo factory za kuajiri millions of people zitajengwa na watu binafsi kama umeme upo
 
LlIPUMBA NDIYE ALIFUNGULIA MFUMO WA UCHUMI WA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

SASA ANAUKANA!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom