Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Hahaaaaaa....unaandaaa kujibu, we noma.
Ila inabidi usionekane wewe mkorofi.

Hahahaha Remmy hii nikiijibu ndio itakuwa poa.....bila hivyo watu wataniona mie nilimtenda nitonye wakati walaaaaa! Yeye mwenyewe anajua vizuri kwamba sijamkosea!
 
Last edited by a moderator:
halafu jamaa nasikia anatafutwa na kova eti anahusika na ile ishu ya makontena bandarini,wanawake bana.

Umbea sio kazi.....kazi kusutwa babu weye.....hivi hujajua kama Zinduna karudi eeh? Endelea!
 
Last edited by a moderator:
Mi kuna siku nitakufa na presha humu. Bora nihamishie uchokozi kitengo cha siasa, na hivi le mutuz hayupo nikichokoza watu si nitadundwa mie.
Mke mwenza uache kuonhea na wanamme, ukiachika na mie naomba talaka wallah.
 
wenzio wanalilia baraka wewe unaipiga teke.? Unazeeka vibaya baba.

SL anajua jinsi nilivyokuwa namjali na jinsi tulivyokuwa tunamlea mtoto wetu ndio maana nasema siwezi kumuweka mtoto wangu mikononi mwa Vin Diesel
 
Mi kuna siku nitakufa na presha humu. Bora nihamishie uchokozi kitengo cha siasa, na hivi le mutuz hayupo nikichokoza watu si nitadundwa mie.
Mke mwenza uache kuonhea na wanamme, ukiachika na mie naomba talaka wallah.


Hahahaha mke mwenza le mutuz ndie bodigadi wako?

Mimi kuachika labda kiyama kije .....haachiki mtu hapa!
 
Sitaruhusu mtoto wangu wa kike akalelewe na Vin Diesel embu fungua macho mama uone kilichopo mbele


Nimefungua nikaona vile unapiga fuko la mahela teke......think twice nitonye.....hii ni baraka (source:mad:King'asti) baba usiichezee manake haiji mara mbili!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom