Alichokisema roma (mkatoliki) kuhusu boom.

KAUZUDAGAA

Member
Sep 24, 2012
36
4
Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti:
"MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA".
vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!
 
kweli kwa jicho la tofauti kwani watu boom likitoka wanatumia vibaya,then likikata wanatafuta any means za kuishi
 
Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti:
"MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA".
vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!

Eti m2 mzima kawaza kaona hki ndo cha kuandika... Aibu ilioje!
Ama kweli mdomo jalala
 
jamaa hizi post zako hizi, kajipange upya sio kupost kila kitu kinacho kujia akilini bila kutafakar kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom