Alibakwa na babaake!!!!

haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa.

Ungesema babake wa kufikia.
Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa.
 
haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa.Ungesema babake wa kufikia.Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa.
nashukuru sana ushauri wako ni mzuri, lakini hata kama ni baba wa kufikia kwa kuwa ni bwana wa mamaake still bado is just like her father.
 
Back
Top Bottom