Alibakwa na babaake!!!!

Bibie hujambo, nikukamata sijui nani atatuamulia,nimesoma kauli yako sehemu eti Kloro yuko kwako na uliniahidi niko alone khah!
kloro yupo kwangu ila nilimuombea hifadhi nyumba ya jirani. Lol Sijambo, hebu jibu text msg yangu basi. Hadi ninune.
 
Pole sana first born. Kuna rafiki yangu wa kike tuna kama 2 weeks tangu tumejuana. Alibakwa na sasahv ni mjamzito. Juzi mpenzi wake alikuja kumtembelea kutoka mkoa mwingine ila mdada alikosa raha na hakujua afanyaje.Nilimshauri aseme ukweli jinsi mambo yalivyokuwa. Thanx god yule mwanaume amemuelewa na amekubali waendelee na uhusiano. Hana tatizo na mimba wala mtoto. Natamani first born ungekuwa muelewa kama huyo mwanaume. Hayo yote ni maisha, hakuna mtu anapenda afikwe na mabaya, hakuna ajuae kesho.
Yah husninyo nampenda sana mpenz wangu huwezi amin, hasira zangu kwa sasa ziko kwa mamaake, ananiudhi sana. Kwanini amwambie hiyo mimba sio ya huyo serengeti boy wake? Bila aibu akamwambia hny wangu eti anamsingizia mume wake!! Na ukumbuke sa hizo baba (mzaa chema) alishatembea kusiko julikana baada ya kuachana na mama huyu!Nikuulize huyu mtoto alikuwa na msaada gani zaid ya mamaake?Huyu mama pumbavu sana, anamfeel zaid serengeti boy kuliko mwanae. Mi simpendi wala nini.
 
Yah husninyo nampenda sana mpenz wangu huwezi amin, hasira zangu kwa sasa ziko kwa mamaake, ananiudhi sana. Kwanini amwambie hiyo mimba sio ya huyo serengeti boy wake? Bila aibu akamwambia hny wangu eti anamsingizia mume wake!! Na ukumbuke sa hizo baba (mzaa chema) alishatembea kusiko julikana baada ya kuachana na mama huyu!Nikuulize huyu mtoto alikuwa na msaada gani zaid ya mamaake?Huyu mama pumbavu sana, anamfeel zaid serengeti boy kuliko mwanae. Mi simpendi wala nini.
inaumiza sana first born ila ni wewe na mpenzi wako ndio wa kupanga maisha yenu. Mtu wa 3 asizitawale emotions zako.Kama unampenda mpenzi wako we songa nae mbele. Usiendelee kuyafikiria hayo mambo. Assume hayajatokea ili uweze kuwa na furaha.
 
inaumiza sana first born ila ni wewe na mpenzi wako ndio wa kupanga maisha yenu. Mtu wa 3 asizitawale emotions zako.Kama unampenda mpenzi wako we songa nae mbele. Usiendelee kuyafikiria hayo mambo. Assume hayajatokea ili uweze kuwa na furaha.
Ina hitaji moyo! Sio lelemama.
 
pole mkuu 1born.vumilia hayo ndo maisha.mpende bint huyo kwa moyo wako wote na umuoe,atakuthamin sana maana utakuwa mwanaume wa pekee kwake uliyekubaliana na hali yke.
 
Nafurahi sana koz wana JF inaonesha tuko pamoja. Na I promise ikitokea nimemwoa huyu mrembo lazima nimwambie kuwa ndoa yetu imechangiwa na wana JAMII FORUMS,ikiwezekana nitajaribu kuwataja hata kwa majina baadhi ya nitakaokuwa nawakumbuka ili awaombee mpate baraka za mwenyenzi Mungu kwa mchango wa kuokoa mahusiano yetu. For sure I really appreciatte your advice.
 
poleni sana we muoe tu ili mradi kishatoa dukuduku lake kwako now she is free na wewe ndo uko bound na matatizo yake..
 
Wachangiaji wote wamechangia Vema BIG UP!!

(Ninachochangia hapa chini ni mtizamo wangu tuu sio lazima uufuate na usipokupendeza please usijisikie vibaya UPOTEZEE)

Kama hii ni story ya kweli, ndugu yangu haikuwa sawa/vema sana kuiweka kwenye mtandao wa kijamii kama hivi. Ulitakiwa kumtafuta mtu au watu wachache wa karibu sana na ww wenye hekima ndio wakupe ushauri. Hofu yangu ni unyeti wa jambo lenyewe na sehemu uliyochagua kutafutia ushauri. WHAT IF HUYO BINTI AKAUONA HAPA JAMVINI, atajisikia vibaya kuwekwa wazi kenye mtandao wa kijamii.

Nafikiri kuna masuala mengine kama wananume wa ukweli inabidi kukaa nayo mioyoni mwetu for the sake of our loved ones since ni maamuzi ya maisha yenu wawili tuu. Kikubwa ni kuelewa uhasilia na unyeti wa suala lenyewe na mtazamo na akili za watu tunaowashirikisha katika masuala yetu ya msingi na ni jinsi gani wanaweza kukaa na masuala ya marafiki wao mioyoni mwao (usiri) ili kulinda heshima na tafsiri zisizotukuka za wanajamii.

MAISHA NI MAELEWANO KATI YA WATU WENYE MTAZAMO UNAOFANANA, WENYE NIA MOJA NA UPENDO WA DHATI, MSIMAMO WA PAMOJA. WENYE KUCHUKULIANA MIZIGO YAO NA KULINDIANA HESHIMA ZAO ZISIHARIBIKE.
 
Wachangiaji wote wamechangia Vema BIG UP!!(Ninachochangia hapa chini ni mtizamo wangu tuu sio lazima uufuate na usipokupendeza please usijisikie vibaya UPOTEZEE)Kama hii ni story ya kweli, ndugu yangu haikuwa sawa/vema sana kuiweka kwenye mtandao wa kijamii kama hivi. Ulitakiwa kumtafuta mtu au watu wachache wa karibu sana na ww wenye hekima ndio wakupe ushauri. Hofu yangu ni unyeti wa jambo lenyewe na sehemu uliyochagua kutafutia ushauri. WHAT IF HUYO BINTI AKAUONA HAPA JAMVINI, atajisikia vibaya kuwekwa wazi kenye mtandao wa kijamii. Nafikiri kuna masuala mengine kama wananume wa ukweli inabidi kukaa nayo mioyoni mwetu for the sake of our loved ones since ni maamuzi ya maisha yenu wawili tuu. Kikubwa ni kuelewa uhasilia na unyeti wa suala lenyewe na mtazamo na akili za watu tunaowashirikisha katika masuala yetu ya msingi na ni jinsi gani wanaweza kukaa na masuala ya marafiki wao mioyoni mwao (usiri) ili kulinda heshima na tafsiri zisizotukuka za wanajamii.MAISHA NI MAELEWANO KATI YA WATU WENYE MTAZAMO UNAOFANANA, WENYE NIA MOJA NA UPENDO WA DHATI, MSIMAMO WA PAMOJA. WENYE KUCHUKULIANA MIZIGO YAO NA KULINDIANA HESHIMA ZAO ZISIHARIBIKE.
Yes nakupata, but hata kama ningetafuta watu wa karibu yangu nakuwaambia nahisi suala la uwazi ndo lingechukua nafasi zaidi koz huenda watu ambao ningewaomba ushauri wangekuwa wazee wangu wa karibu nk, so mi nahisi ndo angejisikia vibaya zaidi.Uamuzi wa kuweka kwenye mtandao umenifikia kwa kutupia macho mambo yafuatayo;1. Asilimia kubwa ya wanaonishauri na kutoa comments zao siwajui, so nitakuwa huru popote bila bila kmwogopa mtu kwa kumhofia kujua siri zangu.2. First Born is not my name. So atajuaje kuwa alieweka mambo net ni mimi?3. Ushauri ninaoupata humu ni wa kisomi zaidi kuliko ningewatafuta wazee ambao wangekuja na culture zao.
 
First Born
mkuu mimi nakupa hongera sana umepata mke muaminifu sina haja ya kukupa ushauri wenzangu wamemaliza naimani kubwa sana kuwa huyo ni mke wa maisha nachokuomba mpendesana hata akifanya kosa msahihishe kwa upole sana. historia uliyo toa kwajina la mungu imenifanya nilie bila kificho wenzangu hapa kazini wanashanga mtumzima kulia. naushungu sana nakitendo alichofanyiwa natamani ningempata mimi nikamuenzi. NAKUOMBA UHISI MACHUNGU YAKE napia naomba ukiwa tayari kufanya shuguliyako ya ndoa nitoe mchangowngu. nakutakia maisha mema na yenye furaha katika ndoa yenu
 
First Born mkuu mimi nakupa hongera sana umepata mke muaminifu sina haja ya kukupa ushauri wenzangu wamemaliza naimani kubwa sana kuwa huyo ni mke wa maisha nachokuomba mpendesana hata akifanya kosa msahihishe kwa upole sana. historia uliyo toa kwajina la mungu imenifanya nilie bila kificho wenzangu hapa kazini wanashanga mtumzima kulia. naushungu sana nakitendo alichofanyiwa natamani ningempata mimi nikamuenzi. NAKUOMBA UHISI MACHUNGU YAKE napia naomba ukiwa tayari kufanya shuguliyako ya ndoa nitoe mchangowngu. nakutakia maisha mema na yenye furaha katika ndoa yenu
Dah nakushukuru sana rafiki yangu kasopa. Nafura kuwa na watu wenye kuchukua mzigo wangu kama wao. Ubarikiwe sana.
 
Zomba, nafikiri hujayasoma vizuri maelezo, kipindi anafanyiwa hivoa alikuwa mdogo, just imagine she was just a form one, huenda ni kutokana na woga alinyamaza lakini hata alipokuja kumwambia mama yake alimruka, so unafikiri kama mama hakuwa msaada kwake kwa wakati huo nani mwingine angemsaidi kwa akili zake za kitoto?

Asingeweza kumshitaki maana alikuwa minor na tena alihisi kuwa hatapata support na mama yake kwa kuwa ni mume wake....she was young and timid. Wewe mchukue huyo binti is very honest and I am sure she will make you happy in life.Mtoto mpeni tu upendo, maana love conquers all...do not fear.
 
Zomba, nafikiri hujayasoma vizuri maelezo, kipindi anafanyiwa hivoa alikuwa mdogo, just imagine she was just a form one, huenda ni kutokana na woga alinyamaza lakini hata alipokuja kumwambia mama yake alimruka, so unafikiri kama mama hakuwa msaada kwake kwa wakati huo nani mwingine angemsaidi kwa akili zake za kitoto?

Kwanza tukubaliane huyo si baba'ke ni bwana wa mama'ke. Inaweza kuwa alikuwa mtoto na ashki zake ndio zikamtuma aliwe nae, la kubakwa haliingii akilini. Wewe, mimi ni mtu mzima na haya mambo nnayokwambia yazingatie. Huyo hajabakwa, alimfungulia mwenyewe kwa raha zake. Na huyo si baba'ke. Kwa hiyo usitake ku dramatize kuwa ni baba'ke unapoteza umma na unajiwekea vizingiti kichwani visivyo kuwepo.

Mwambie akuambie ukweli, kijana bado u mdogo na hujui hila za wanawake. Kuna kisa kimoja :

Kuna mke wa mtu kijana aliliwa na mtu. mumewe akahisi kitu, akmwambia mkewe apa kwa mungu kuwa hujafanya dhambi ya kuliwa, akampa muda wa kufikiri siku tatu. Yule mwanamke akaenda kwa mamake mzazi akiwa mnyonge, mama'ke kumuona mwanae mnyonge akamuuliza vipi binti yangu una nini, ikabidi amueleze mama'ke ukweli, kuwa aliliwa lakini inabidi aape. Mama akamwambia mbona hayo madogo tu, nani aliokula? akamueleza. Mama akamwambia sasa nataka siku ya kuapa mwambie mumeo aje kukuapishia hapa kwangu na mimi ntahakikisha yule aliokula namuweka pale nje kwenye kona, yule aliokula awe hapo na mpite hapo na mumeo na wewe vaa gauni lako lakini ndani usivae chupi wala gaguro, na ukifika hapo jiangushe na uhakikishe katika kuanguka kwako nguo inaruka mpaka unakuwa uchi na yule aliokula anakuona mpaka nanihii yako na mumeo anashuhudia yote hayo. Na ikifika wakati wa kuapa wewe apa kuwa "Naapa kuwa toka kuolewa na wewe hakuna mwanamme aliyeniona nanihii yangu isipokuwa wewe na yule pale nilipoanguka tu. Basi wakafanya hivyo, na ikawa ameapa ukweli kuwa hakuna alioona nanihii yake isipokuwa wao tuu. Mume karidhika mambo swaaafi.

Hizo ndio mbinu na hila za wanawake, akwambie kweli tu.
 
Kwanza tukubaliane huyo si baba'ke ni bwana wa mama'ke. Inaweza kuwa alikuwa mtoto na ashki zake ndio zikamtuma aliwe nae, la kubakwa haliingii akilini. Wewe, mimi ni mtu mzima na haya mambo nnayokwambia yazingatie. Huyo hajabakwa, alimfungulia mwenyewe kwa raha zake. Na huyo si baba'ke. Kwa hiyo usitake ku dramatize kuwa ni baba'ke unapoteza umma na unajiwekea vizingiti kichwani visivyo kuwepo.Mwambie akuambie ukweli, kijana bado u mdogo na hujui hila za wanawake. Kuna kisa kimoja :Kuna mke wa mtu kijana aliliwa na mtu. mumewe akahisi kitu, akmwambia mkewe apa kwa mungu kuwa hujafanya dhambi ya kuliwa, akampa muda wa kufikiri siku tatu. Yule mwanamke akaenda kwa mamake mzazi akiwa mnyonge, mama'ke kumuona mwanae mnyonge akamuuliza vipi binti yangu una nini, ikabidi amueleze mama'ke ukweli, kuwa aliliwa lakini inabidi aape. Mama akamwambia mbona hayo madogo tu, nani aliokula? akamueleza. Mama akamwambia sasa nataka siku ya kuapa mwambie mumeo aje kukuapishia hapa kwangu na mimi ntahakikisha yule aliokula namuweka pale nje kwenye kona, yule aliokula awe hapo na mpite hapo na mumeo na wewe vaa gauni lako lakini ndani usivae chupi wala gaguro, na ukifika hapo jiangushe na uhakikishe katika kuanguka kwako nguo inaruka mpaka unakuwa uchi na yule aliokula anakuona mpaka nanihii yako na mumeo anashuhudia yote hayo. Na ikifika wakati wa kuapa wewe apa kuwa "Naapa kuwa toka kuzaliwa hakuna mwanamme aliyeniona nanihii yangu isipokuwa wewe na yule pale nilipoanguka tu. Basi wakafanya hivyo, na ikawa ameapa ukweli kuwa hakuna alioona nanihii yake isipokuwa wao tuu. Mume karidhika mambo swaaafi.Hizo ndio mbinu na hila za wanawake, akwambie kweli tu.
mhh!!! Siwezi kukataa, ni wazo mmojawapo
 
Pole sana naona kabisa una changamoto kubwa kwenye maisha yenu ya baadae kwani umeshasema hutaki kumwona mama mkwe. Kibaya zaidi mtoto ni wa "baba mkwe". Ina maana maisha yenu yote mta jitenga na familia ya binti. Pole sana ni changamoto kubwa sana kuishi duniani ukiwa na maadui au watu unaowachukia ila naona hakuna jinsi. Kama binti una hakika ana tabia nzuri mfanye mkeo. Ila chunguza kwa makini maana mabinti wanaozaliwa na wamama ambao utulivu zero wana chance kubwa ya kuwa na tabia kama za mama zao. Huyo mama mkwe nadhani hajatulia kwa kuolewa na kaserengeti boy na kumweka mtoto kwenye mazingira hatarishi. Kama binti hana tabia kama za mama yake go ahead na nakuombea muwe na familia ya kuigwa.
 
Mbona unachakachuwa, huyo si babaake ni bwana wa mama'ke. Alivyobakwa alichukuwa hatua gani ya kumshitaki aliyembaka? kama hajachukuwa hatua basi hajabakwa huyo alitaka mwenyewe. Mwambie akueleze ukweli.
Hata mimi ndio nilikuwa natafakari hiki kitu kama kweli alibakwa kwa nini hakuenda kwenye vyombo vya sheria kulalamika,kama kweli alikua serious na maisha yake na hakupenda hicho kitendo lazima angeenda kwenye vyombo vya kisheria,hapo inawezekana kulikuwa na makubaliano fulani
 
Hata mimi ndio nilikuwa natafakari hiki kitu kama kweli alibakwa kwa nini hakuenda kwenye vyombo vya sheria kulalamika,kama kweli alikua serious na maisha yake na hakupenda hicho kitendo lazima angeenda kwenye vyombo vya kisheria,hapo inawezekana kulikuwa na makubaliano fulani
Zingatia umri wake. Je, unadhani alikuwana mawazo ya kuchukua hayo maamuzi? Ujue pia alikuwa na hofu ya utotoni. Kumbuka we ulipokuwa form one.
 
Pole sana naona kabisa una changamoto kubwa kwenye maisha yenu ya baadae kwani umeshasema hutaki kumwona mama mkwe. Kibaya zaidi mtoto ni wa "baba mkwe". Ina maana maisha yenu yote mta jitenga na familia ya binti. Pole sana ni changamoto kubwa sana kuishi duniani ukiwa na maadui au watu unaowachukia ila naona hakuna jinsi. Kama binti una hakika ana tabia nzuri mfanye mkeo. Ila chunguza kwa makini maana mabinti wanaozaliwa na wamama ambao utulivu zero wana chance kubwa ya kuwa na tabia kama za mama zao. Huyo mama mkwe nadhani hajatulia kwa kuolewa na kaserengeti boy na kumweka mtoto kwenye mazingira hatarishi. Kama binti hana tabia kama za mama yake go ahead na nakuombea muwe na familia ya kuigwa.
hii nimeipenda zaidi.
 
Back
Top Bottom