Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

Bachelor of Science in Mechanical Engineering Design kutoka Ujerumani? Wameteleza au nini?

Amandla.........
 
Ndo wamejenga Infotech Place pale Old Bagamoyo sio?
np1.jpg
 
unakuwa ujui mambo ya barrier to entry kwenye biashara ndugu yangu
wakati wa mafruki anaanza haikuwa global economy, hawakushindanishwa na watu kutoka nje thanks to nyerere
sasa hivi mtaji ni shida sana ndugu yangu kwa ajili unashindana na watu kutoka sehemu mbalimbali duniani na wenye mitaji mikubwa
mimi sio muoga ila ninakuambia matatizo yaliyoko sasa hivi...

Challenges za tofauti zilikuwepo wakati huo. Actually, I do not prefer the World where there are no challenges. Angalia akijibu maswali hapa,
What were the main challenges you faced when you created Infotech Investments?
I decided to start a business in Tanzania in 1989, when my country was still officially a socialist state. The private sector had been all but run into the ground by a quarter-century of a Tanzanian brand of socialism.
Computers were officially banned by the state and here I was trying to set up an IT firm. I had to get a permit from a government agency for every PC I imported into the country and yet the government was my biggest-if not the only-customer at the time.
There was no private capital, no credit, no talent, no family support. And to make things worse, my training as a mechanical engineer with very little practical experience did not prepare me enough for what turned out to be a very difficult and unpredictable business environment.
Going into business was a risky move in many ways, but I had a strong sense that change was on the horizon and opportunities would eventually come.

What needs to be done to overcome the barriers?
I can answer this question by looking back at how far we have come in the last two decades. Socialism is gone and almost forgotten. Tanzania is slowly but surely becoming an attractive investment destination. The policy environment has greatly improved and there are strong signs that things will get better, not worse.
This has come as a result of significant improvements in leadership. Understanding how a globalized world works helps and it is going to take strong, wise, and enlightened leadership to sustain the successes we have achieved as a country.

Is the situation today hopeless?

SOURCE
http://www.businessweek.com/technology/content/jun2009/tc20090610_225844.htm
 
Ndo wamejenga Infotech Place pale Old Bagamoyo sio?

Ndio wenyewe hasa!

Infotech Place is one of the Infotech Investment Group Real Estate development projects. Other development projects in the Groups new and expanding Real Estate portfolio include the Infotech Plaza building in Geita, Tanzania as well as other projects currently on the drawing board.

logo.gif
INFOTECHPlace
 
Nasikia Ujerumani wanatoa Dip.Ing. sio B.Sc.

Amandla......

Ok, nadhani wangeiita Masters ingekuwa more accurate.

Siku hizi naona wantoa Bachelors na Masters, kuna standardization nchi za Europe ili degreee zifanane.
 
Nafikiri wengi wetu kinachoturudisha nyuma ni kukosa uthubutu, na hasa ni kwa sie wajaariwa. Unaanza kuhesabu risk weeeee, mpaka jua linazama unabaki kujiambia kesho, which never comes!
 
Hivi huyu naye hayumo kule kwenye ile list? ............... I smell sth!!! Endeleeni kuchangia atatokea mtu na datas tu mda si mrefu.

Mkewe mwenye asili ya Somalia ndio BRAIN behind the success; hata hivyo huyu bwana ana uhusiano mkubwa na Rostam Aziz mpaka wote wakawa shareholders wa magazeti ya Nation ya Kenya pamoja na Ruhinda. Kuchaguliwa kwake kuwa BOT board member ni katika mbinu za kufunika uozo na uvundo a' la EPA na especially kuhusu TWIN TOWERS usitoke tena toka BOT; kumbuka aliteuliwa Meghji akiwa waziri wa fedha!!!
 
Kwa mwendo huu hafanikiwi mtu bila kuwa na connect!!
 
Jamaa namfahamu binafsi ni mmoja kati ya waTz wachache ambao nawaheshimu (huwa naheshimu sana mktu akijiajiri) na inspiration kubwa kwa vijana halafu ni eloquent

Bifu yangu naye ilikuwa kwenye Actis ambayo ilikuja ku replace CDC na matokeo yake nadhani mnajua DFID wanavyotuburuza kwenye kubinafsisha mashirika yetu

Aanyway hapa si mahala pa bifu bali ni kumpa big up bwana Ali
 
CAG,
Tuletee taarifa ya miradi ya computer / IT ya serikali ambayo haijakamilika hadi leo. Pia na ile ile iliyokamilika na gharama zake ziwekwe wazi.
 
Nafikiri wengi wetu kinachoturudisha nyuma ni kukosa uthubutu, na hasa ni kwa sie wajaariwa. Unaanza kuhesabu risk weeeee, mpaka jua linazama unabaki kujiambia kesho, which never comes!
"Kuthubutu" is not much of a problem. Kukosa elimu ya ujasiriamali ndio kiini cha tatizo. There are plenty of books these days that you can find on the Internet though.
Yes, you do have the time to read books; just kill television and you'll see. :)
I have discovered that I can not afford not to read books.
 
kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi
Mdau Semilong, si vizuri kuongea mambo personal ya watu hapa,lakini let me tell you in general mambo matatu:
1.Watu woooooote waliofanikiwa katika biashara duniani wali experience one breakthrough at one intime katika shughuli zao,ni kama zali vile linakuangukia hata wewe mwenyewe weza shangaa. Muulize mfanyabiashara yeyote atakueleza hilo.
2. You need a mentor. Muulize hata Bill Gates kuna mtu alimshika mkono akamfungulia milango. Ndo maana nimesema sitaki kuwa personal katika hii thread.
3. Kufanikiwa katika biashara does not necessarily mean kwamba wewe ni mjanja sana au una akili sana au unafanya kazi sana kuliko wenzio,na kwa mantiki hiyo kufeli katika biashara does not necessarily mean kwamba wewe ni mjinga,mvivu au sio mwelewa.
 
Jamaa inasemekana kule kwao Mwanza walikuwa na eneo kubwa lina madini nayo inawezekana kuwa chanzo cha utajiri alionao. Ardhi hiyo iko mikononi mwa wawekezaji on terms. Thats what I heard!
 
Mkewe mwenye asili ya Somalia ndio BRAIN behind the success; ...
Check your facts mkuu, hii sio kweli

Jamaa inasemekana kule kwao Mwanza walikuwa na eneo kubwa lina madini nayo inawezekana kuwa chanzo cha utajiri alionao. Ardhi hiyo iko mikononi mwa wawekezaji on terms. Thats what I heard!
Hii nayo sio kweli, labda nyepesinyepesi tu.

Vijana fanyeni kazi, visingizio havitatusaidia kupiga hatua mbele. Bwana Ali ni inspiration kwa vijana wanaojaribu kuwa enterprenuers na wala hakufanikiwa kwa sababu ya political connections bali wamekuwa wakimteua kwenye hizo BOARD wakati tayari amefanikiwa.
 
Check your facts mkuu, hii sio kweli

Hii nayo sio kweli, labda nyepesinyepesi tu.

Vijana fanyeni kazi, visingizio havitatusaidia kupiga hatua mbele. Bwana Ali ni inspiration kwa vijana wanaojaribu kuwa enterprenuers na wala hakufanikiwa kwa sababu ya political connections bali wamekuwa wakimteua kwenye hizo BOARD wakati tayari amefanikiwa.

Nyeti mpya nimezipata sasa hivi "Cash machine" kwenye miradi yake mingi kama sio yote ni YOWERI KAGUTA MUSEVENI.....mwenyewe anabisha atokee.Hizi ni nyeti za ndani kabisa na nizamotomoto hata hazijapoa bado.
 
Mhh mbona kama zinaonekana nyepesi nyepesi vile! tupe facts!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom