Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
ali_mufuruki.jpg

ALI MUFURUKI

Chairman & CEO
Infotech Investment Group

Mr. Mufuruki graduated in 1986 with a Bachelor of Science degree in mechanical engineering design from The Fachhochschule for Technology and Economics in Reutlingen, Germany.

The family owned Infotech Investment Group Limited, which he chairs and manages, has controlling interests in m&m communications limited, a leading advertising agency in Tanzania, Infotech Computers Limited, an IT and Telecoms Services Company, W-Stores Co LTD, the operator of the WOOLWORTHS franchise in Tanzania and Uganda and IIG Retail LTD, the operator of the Levi’s franchise in Tanzania.

He worked for Daimler-Benz (now DaimlerChrysler) in Germany from 1985 - 1986 as an engineer in the planning division. He was head of mechanical engineering design at National Engineering Co. Ltd, based in Dar es Salaam from 1987 – 1988 before retiring to start Infotech Computers Ltd in 1989.

He is the current Lead CEO of the Tanzania CEOs’ Roundtable that brings together CEOs of the top 50 companies in Tanzania. He was the founding chairman of the national carrier, Air Tanzania Company Limited. He is chairman of Mwananchi Communications Limited, the publishers of leading Kiswahili and English daily newspapers in Tanzania (Mwananchi and The Citizen).

Mr. Mufuruki also sits on the boards of Nairobi, Kenya-based Nation Media Group LTD, Tourism Promotion Services East Africa also of Kenya, Stanbic Bank Tanzania LTD, New York based Technoserve Inc. and is a trustee of Social Action Trust Fund, a USAID funded non-profit organisation that supports children made vulnerable by HIV Aids.

He is a member of the East Africa Regional Advisory Panel of Actis, a UK based emerging markets focussed private equity fund with USD 3.4 billion under management. He is a member of the Presidential Investors Roundtable (IIRT) that advises the President of Tanzania on a wide range of economic policy issues. He is a Henry Crown Fellow of the Aspen Institute (Co. USA) class of 2001 and Chairman of the Africa Leadership Initiative (ALI), East Africa www.africaleadership.net.

He lives in Dar es Salaam with his wife Saada and four children.

Source: http://www.gsb.uct.ac.za/gsbwebb/dbiabrochure.asp?intPageNr=383
 
Jamaa aliajiriwaa kwa miaka miwili tuu (1986 -1988) baada ya shulee..

natumai ana siri nzuri ya kuhamasishaa vijanaa kujiajirii mapemaa baada ya masomooo..

Ana mkakati wowote wa kutoa mihadhara ya kuhamasisha vijana kujiajirii mapemaa???
 
Mimi mwenyewe niliajiriwa miaka 2 tu sasa hivi nafanya mambo yangu mwenyewe vijana msilale nafasi kibao kazi kwako uwe na bidii ujiamini pamoja na ujuzi wa kutosh a
acha uongo mr specialist....unasubiriwa kule kwenye thread ya mradi wa kazi majuu
 
Huyu Mzee kwa ujumla na muheshimu sana,nilipata kufahamiana nae wakati huo nikiwa mwajiriwa wake, kwenye kampuni yake ya M&M alikuwa anatupa mbinu nyingi sana za kujiongezea kipato nje ya office.Huwezi amini mimi sasa nimejiajiri mwenyewe,na hii inatokana na juhudi zangu binafsi na kutopenda kuajiriwa.
 
Jamaa aliajiriwaa kwa miaka miwili tuu (1986 -1988) baada ya shulee..

natumai ana siri nzuri ya kuhamasishaa vijanaa kujiajirii mapemaa baada ya masomooo..

Ana mkakati wowote wa kutoa mihadhara ya kuhamasisha vijana kujiajirii mapemaa???
kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi
 
nakubaliana na wewe sasa hivi kuna ushindani mkubwa zaidi,lakini bado kama ukidetermine biashara inaendelea tu,inategemea pia na biashara ipi utakayoifanya.
 
kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi
uwogaa tuu hamna cha capital zaidi ni ujasiri wa kuanzaa..

ushindani kuongezeka ndo kichocheo cha kusonga mbele zaidi kwani milango mingi zaidi hufungukaaaaaa....
 
CV ya jamaa imetulia, mtu kama huyu lazima awe ni kichwa sana kufikia mafanikio kama aliyonayo,kweli huu ni mfano wa kuigwa
 
Kwa mara ya kwanza sijaona dongo kwenye wachangiaji.GT kapost akala kona,anawaikilizia kama na bomu lake,kawaacha kwanza mtangulie kwa baiskeli za miti.
GT noma............aka mzee wa TRA ,Bandari na ARDHI
 
huyu ali ni kama mimi tu nimegraduate hadi katika level ya phd na sijawahi kuajiliwa nafanya management consultant tu, so vijana kazeni kamba na mliopo vyuoni msome kwa bidii ukifaulu vizuri ni rahisi kupata mbinu ya kusonga mbele.
 
kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi

uwogaa tuu hamna cha capital zaidi ni ujasiri wa kuanzaa..

ushindani kuongezeka ndo kichocheo cha kusonga mbele zaidi kwani milango mingi zaidi hufungukaaaaaa....

ACHA UOGA WEWE. toka lini ukaambuiwa kulikuwepo kipindi tambarare? kila muongo una challenge zake, kaza buti.
 
Hivi huyu naye hayumo kule kwenye ile list? ............... I smell sth!!! Endeleeni kuchangia atatokea mtu na datas tu mda si mrefu.
 
Congrats comrade!!! Ukweli ni kwamba kila kitu kinawezekana kama utathubutu!!! Mke wangu aliacha kazi those years (1993) working in a well reputable institution, kwa kweli as she is an economist sikuelewa maana unajua tena tulikuwa tunachangia kipato. Though iliacha akiwa kabisa amepanga cha kufanya na mtaji kidogo!!! At the same time niliumia kimoyomoyo but nilimpa support kiume. Na kwa muda mfupi her a annual income was more than a 20 years total her net salary!!! Now I salute her for the wise decission she made!!! Kila bank inamtafuta kwa sasa ili wamkopeshe!!!!

Hata hivyo, kwa sasa ushindani wa biashara ni mkubwa sana. Wenye biashara kubwa ( several types) ndiyo wanafaidi soko, i.e market monopoly haipo tena.
 
Tunaomba mifano mingine kama hii ya watu walioweka juhudi na matunda yakaonekena.

Huu ni mfano mzuri kwa vijana ambao bado wako nje ya Bongo, hakuna njia ya mkato, fanya kazi matunda utayaona.
 
ACHA UOGA WEWE. toka lini ukaambuiwa kulikuwepo kipindi tambarare? kila muongo una challenge zake, kaza buti.
unakuwa ujui mambo ya barrier to entry kwenye biashara ndugu yangu
wakati wa mafruki anaanza haikuwa global economy, hawakushindanishwa na watu kutoka nje thanks to nyerere
sasa hivi mtaji ni shida sana ndugu yangu kwa ajili unashindana na watu kutoka sehemu mbalimbali duniani na wenye mitaji mikubwa
mimi sio muoga ila ninakuambia matatizo yaliyoko sasa hivi...
 
He is also named as the founding Chairman of ATCL, we all know tha state of our national carrier. I will reserve my judgement on calling him reputable, hadworking, visionary, inspiring e.t.c until i know all the facts.
 
Congrats comrade!!! Ukweli ni kwamba kila kitu kinawezekana kama utathubutu!!! Mke wangu aliacha kazi those years (1993) working in a well reputable institution, kwa kweli as she is an economist sikuelewa maana unajua tena tulikuwa tunachangia kipato. Though iliacha akiwa kabisa amepanga cha kufanya na mtaji kidogo!!! At the same time niliumia kimoyomoyo but nilimpa support kiume. Na kwa muda mfupi her a annual income was more than a 20 years total her net salary!!! Now I salute her for the wise decission she made!!! Kila bank inamtafuta kwa sasa ili wamkopeshe!!!!

Hata hivyo, kwa sasa ushindani wa biashara ni mkubwa sana. Wenye biashara kubwa ( several types) ndiyo wanafaidi soko, i.e market monopoly haipo tena.
Inategemea mtizamo wa mtu. Mimi naamini ushindani bado haujawa mkubwa - bado sana!
 
Back
Top Bottom