Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
crap! crap!
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
Mkuu FF,
Nakubaliana na point yako kiasi,Lakini kwa sehemu kama Zanzibar,Vyama vya siasa bado vina sauti kubwa,Kuna sehemu kule pemba CUF inaweza kusimamisha jiwe na likashinda.Ishu ya kuwa na candidate mwenye mvuto ni ya muhimu sana especially kwa CDM ambayo inahitaji kuingia Zanzibar (Ku penetrate),hivyo suala la vigezo ni very key.
Chadema wakishinda huko Zanzibar tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara na kurudi.
Si unaona?! Sisi tuwanyonge yakhe, tena huwo ubabe mtakaotuletea kwetu tutauwezaje yakhe? Si mwajuwa sisi ni midebwedo? Leo mwataka debwedeko nasi na hiyo miguvu yenu? Hatuwawezi yakhe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mtu unatoa mada ili usifiwe ama maana chadema zanzibar ni m2 wa 3 unaposema atashindana unachekesha labda atashindana mbio hahah
Faiza uko sahihi Kabisa! Hili jina limekuwa likiring akilini mwangu tangu nilipolisikia kumbe huyu Bwana namuelewa sana sana kwani ni mchezo mmoja, shule moja (Wana CHADEMA humu huita Madrasa) na nahisi pengine nae anataka kujitowa kimaisha tu. Sioni kama ni mwanasiasa hasa na nikimuangalia na yule wa Magamba nahisi labda watu wa uzini wawe na kisasi na CCM ndio CDM washinde. Hata hivyo kama CUF walikuwa wakishindwa kila siku jimboni humo sifikiri kuwa watu wake wana kisasi hivyo na CCM kiasi cha CDM kushinda!
aaaaaa ayaa nakuweka jiti au mti liveChadema wakishinda huko Zanzibar tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara na kurudi.
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
ukirejea hali ilivyokuwa jimbo la Igunga kabla na baada ya uchaguzi mambo madogo kama haya hautasumbuka kuyachanganua.
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
Wewe Ms kumbe hata majina ya Wapemba wenzio hauyajui. Jina lake ni Mshimba na Siyo MUSHIMBA! Nakumbuka kufundishwa Maths pale mlimani na Professor fulani Mlimani aliyekuwa akiitwa Mshimba alikuwa faculty ya Science. Hata hivyo bado naamini jina lake siyo tatizo hata likiwa linafanana na majina ya bara maana watanzania wengi ni wabantu.
Chadema wakichukuwa hilo jimbo naihama rasmi CCM. Hii challenge niliitowa hata Igunga.
duh,Jina hili la MUSHIMBA ? from ARusha au Moshi tu.
hivi ni viapo vya kijinga vitolewavyo na wajingaChadema wakishinda huko Zanzibar tatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara na kurudi.