Ali Kiba uko juu

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
151
Nampa bonge la support Ali kiba kwa kutofanya album review na hao presenters wa clouds fm. Hao jamaa ni mafisadi wakubwa kwenye game la mziki Tanzania na kutopeleka cd yake ni ujasiri mkubwa.

Tunajua Ali Kiba ,utabaniwa sana tuu na hao ila usikonde tuta ku support tuu ,maana walishaanza kutuma msm zikisema , masuala ya kukosa udhamini wa makampuni makubwa ya Tanzani. Tunajua wazi hakuna kudhaminiwa wala nini ni utumwa wa ujanja wa hawa jamaa tuu na ubabaishaji.
 
mpaka sasa umeshampa suport gani ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom