Ali Kiba hujui tofauti kati ya msanii na mwanamziki, kwa hili Diamond Platnumz ni msanii

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
823
1474950723055.jpg

Msanii ni neno lililotokana na sanaa hivyo basi mtu yeyote anayefanya kazi ya sanaa anaitwa masanii,sasa basi huwezi kuwa Mwanamziki kama siyo Msanii kwani Muziki ni Miongoni mwa Vipera vya sanaa.
1474951526444.png

Hapa Ali Kiba akimanisha yeye ni Mwanamziki.
 
Mwanamuziki ni msanii ila si kila msanii ni Mwanamuziki.

Labda angesema kuna togauti kati ya Muimbaji na Mwanamuziki.
 
Ali kiba ni mwimbaji (singer) na diamond platnumz ni mwimbaji na mwanamziki (singer and musicians). Ukigoogle tofauti kati ya singer na musicians, singer (mwimbaji) ni yule mwenye uwezo wa kutumia sauti yake ktk uimbaji na musicians ni yule mwenye uwezo wa kupiga chombo chochote cha mziki (diamond anajua kupiga gitaa kama ulimfollow ktk ukurasa wake instagram nazani ulimwona wakati akifanya mazoezi yake na bendi.
 
Kwani hiyo ni page ya kiba, page ya kiba imeandikwa 'Alikiba' bila kuacha nafasi.. huyo shabiki tu
 
Maskini Alikiba sijui aliwakosea nini binadamu wenzie maana siku hizi imekuwa rahisi sana kwa mtu yoyote kuanzisha uzi na kumwongelea yeye ilhali hana uhakika wowote na akiongeacho, usemi wa kusema ukiwa unasemwa unajing'ata utakuwa sio kweli maana huyu jamaa saizi angekuwa na kipisi cha ulimi

Anyway, mtoa mada hiyo sio account official ya Alikiba bali atakuwa shabiki wake tu, kwenye account zake waga anaandika jina bila kuacha space so inakuwa Alikiba na sio Ali kiba
 
Wewe ni mwongo basi huijui akaunt yake ifuatilie hiyo akaunt utaona.
 
Huyo kiba hajitambui,kama yeye ni mwanamuziki aseme anapiga chombo kipi kwenye muziki......... Ikiwa hata chombo kimoja cha muziki hana .......... na wakati huo huo mwenzake anamiliki vyombo vyote vya muziki na kupiga gittah la base,sasa yupi ni msanii hapa ........???
 
Diamond ni msanii na alikiba ni mwanamziki..are two diff thngs ukienda ndani zaidi..naamini mwanamziki anaweza akastay Ktk game ya mziki mda mrefu zaidi kuliko msanii in long run..kwann diamond ni msanii,?he is creative,can somehow sing,swaggs na anaweza kucheza na camera as an actor..tofauti ya kuwa alikiba sio msanii ni kwamba he cant play with camera,kind innovative ingawa sio kivile na yupo yupo tu..kwann alikiba ni mwanamziki.hope inaeleweka ni jinsi gan alipoanzia na adi leo mziki wake wa miaka 7 nyuma unaeza uckiliza adi na kuenjoy,cheki jinsi nyimbo zake zinavyostay alive as a national songs..alikiba ni king na ni mwanamziki asiyeshikika apa bongo..akijipa nguvu akawa msanii diamond ataisoma namba..
 
Back
Top Bottom