Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Alikiba ametajwa kuwania kwenye tuzo za mwaka huu za MTV Europe Music Awards
(EMA) kipengele cha Best African Act.

Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

Mshindi wa hatua hii ya kwanza ataenda kuwakilisha moja kwa moja kuwakilisha kwenye mtv worldwide act.

Mwaka jana mshindi wa Vingelele vyote viliwi alikuwa Mtanzania Diamond Platnumz alietwa tuzo zote 2 na kuwa mwafrika wa kwanza kushinda kwenye kipengele cha world wide act akimshinda mhundi mwanamuziki na muigizaji Pryinka Chopra.
 
Msanii wa Kimataifa kutokea Tanzania, Alikiba maarufu kama Kingkiba, Leo ametajwa kwenye nominations za tuzo kubwa dunia za Mtv Europe Music awards (MTVEMA) katika category ya BEST AFRICAN ACT, Alikiba ni msanii pekee kutokea East Africa huku akiungana na miamba mingine ya mziki kutoka Nigeria na south Africa kama ifuatavyo

Best African Act

Alikiba - Tanzania
Wizkid - Nigeria
Black coffee - South Africa
Casper nyovest- South Africa
Olamide - Nigeria

Haya ni mageuzi makubwa ya kimziki wa bongoflava, hasa ukizingatia Alikiba anaimba bongoflava halisi isiyo na chembe ya unaijeria.

Congratulations [HASHTAG]#Kingkiba[/HASHTAG]
BongoFlava to the World
[HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] [HASHTAG]#Rockstar4000[/HASHTAG] Yooooooh
 
Hongera yake, niliwaambiwa timu kiba kipindi kile cha "vote for Davido" hamna haja yakumfanyia hivyo Diamond kwasababu miaka kadhaa ijayo kiba pia atapata nominations kama hizi kama ataendelea kukaza na kufanya kazi nzuri.

Okay time is now, niwatakie upigaji mwema wa kura, binafsi I won't bother .
 
Hongera yake, niliwaambiwa timu kiba kipindi kile cha "vote for Davido" hamna haja yakumfanyia hivyo Diamond kwasababu miaka kadhaa ijayo kiba pia atapata nominations kama hizi kama ataendelea kukaza na kufanya kazi nzuri.

Okay time is now, niwatakie upigaji mwema wa kura, binafsi I won't bother .
hahahahaaa.... KARMA..... What goes around...
 
Wapi yule jini mwenye roho mbaya kabisa ambaye huwa anatekenyeka kila akiguswa na salome.


Yoooooooooh kingkiba papleeen mchiz wa gheto
UNAYEMPONDA YEYE KACHUKUA TUZO ZOTE 2, BEST AFRICAN ACT NA AKAINGIA KIPENGERE CHA PILI CHA WORLD WIDE NA AKACHUKUA SASA WEWE UNAMPONDA AMBAYE TAYARI ANAZO HIZO TUZO,WAKATI HUYO UNAYEMSHABIKIA NDIO KWANZA ANATAKA KURA YAKO, WE UKO SAWA KICHWANI KWELI ..........???
dai-ema.jpg
 
Mshindi wa hatua hii ya kwanza ataenda kuwakilisha moja kwa moja kuwakilisha kwenye mtv worldwide act.
Wengine hatujui hayam mambo, kwa hiyo hapo ndio anakuwa ameingia hatua ya mtoano, nusu fainali au fainali!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom