Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 71
my lyrics..... Mwanamke .akipenda kapenda heeelaaaaa.....
Sasa nimekuelewa, kumbe hoja si A.K kutafsiri lyrics but ni yeye kucctiza Mwanamke akipenda kapenda kweli... Umetendwa nini kaka?
my lyrics..... Mwanamke .akipenda kapenda heeelaaaaa.....
Mbona mtoa hoja na wachangiaji mliomsupport mnashindwa kutuambia mashairi gani ya R.K yaliyotafsiriwa na A.K?
juma kweli chizi na nyimbo zake.mkinaaa duusoo saga sagaaa..Bongo ni woote na sio mmoja hakuna anayetumia akili zake wote ni kudesa nilifuatilia miziki ya lady j d yote ka paste zile olds za zamani sana. kutunga mziki ni kazi kweli kweli inabidi utulie na uisome jamii. hapa wakitokea wenyewe kudai habaki mtu labda Juma Nature pake yake ndo atabaki maana lile chizi linatunga haliibi kwa nadhani halijua pa kuibia
mkuu Jk ****** au mwingine?kama ni ****** hapa unamuonea tu ,hausiki!Jamani JK ,huoni hilo?
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee... wanawake hawapendi kweli ila hupenda pesa... tena ukome potosha jamiii.. Umenisoma Ali Kiba... HABARI NDIO HIYOOOO