Ali K.... Danganya haoo...haooooo

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,725
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee... wanawake hawapendi kweli ila hupenda pesa... tena ukome potosha jamiii.. Umenisoma Ali Kiba... HABARI NDIO HIYOOOO
 
Bongo ni woote na sio mmoja hakuna anayetumia akili zake wote ni kudesa nilifuatilia miziki ya lady j d yote ka paste zile olds za zamani sana. kutunga mziki ni kazi kweli kweli inabidi utulie na uisome jamii. hapa wakitokea wenyewe kudai habaki mtu labda Juma Nature pake yake ndo atabaki maana lile chizi linatunga haliibi kwa nadhani halijua pa kuibia
 
Nyie hamna mnayoiga kwa watu mnaoona wanafanya vizuri na yatawasaidia???
HAKUNA JIPYA DUNIANI Yote yaliopo yalikuwako na yataendelea kuwako!!!!

MSIMKATISHE TAMAA KIBA
 
Ndo atafsiri mashairi ya R.kelly... atoke zake..
 
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee... wanawake hawapendi kweli ila hupenda pesa... tena ukome potosha jamiii.. Umenisoma Ali Kiba... HABARI NDIO HIYOOOO

kwa style hii, basi tutasema Kelly kakopy kwa diane Warren, naye tutasema ameiba kwa Bette Midler naye tutasema kaiba kwa Demis Roussus naye tutasema kaiba kwa Skita Davis naye tutasema kaiba kwenye agano jipya nk...

we need deeper critique than this

WIVU MBAYA SANA, HEBU TUPE BASI NA WEWE LYRICS ZAKO
 
tehe tehe teh! Hii kali! Jamaa uko deep kinoma! Frm agano la kale,atasema katoa kwenye tenzi za rohoni! Teh teh
 
wimbo wenyewe uko hivi:
Sikatai yule mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi, lakin pia uvumilivu na vitendo vyenye karaha vilimuumiza, mwenzio mim ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa. Nidham uliyonipa mwanzo ndio inaniuma. Fikira zako ziko vibaya kwa kuzani ya kwmba yule demu nilimpenda, ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa hekima. Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama, kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona. unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa ...........najua mwanamke akipenda anapenda kweli.....

chorus: sasa ana runi dunia .....X 3

vesi ya pili

najua wapo waliobadilisha dini kwa sababu ya kupenda..na wapo walioaga dunia kwa sababu hiyo hiyo kupenda.....besy yangu nilimpenda............wacha niishe hapo .najaribu kuuweka hapa ila nashindwa

napenda nyimbio za Ali Kiba ila huu ni zaidi ya kuupenda!!!
 
Mbona mtoa hoja na wachangiaji mliomsupport mnashindwa kutuambia mashairi gani ya R.K yaliyotafsiriwa na A.K?
 
kwa style hii, basi tutasema kelly kakopy kwa diane warren, naye tutasema ameiba kwa bette midler naye tutasema kaiba kwa demis roussus naye tutasema kaiba kwa skita davis naye tutasema kaiba kwenye agano jipya nk...

We need deeper critique than this

wivu mbaya sana, hebu tupe basi na wewe lyrics zako

my lyrics..... Mwanamke .akipenda kapenda heeelaaaaa.....
 
huyo dogo data inaonekana yupo kwenye gemu sasa kazidiwa kete

hakuna lyrics zozote mpya duniani, kwani mziki umeanza kabla ya yesu messiah

kweli dogo data nakuita dogo ushuzi

huenda nawe mkono waenda kimiani kupitia Ali k... pole kaama nime kugusaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom