Mwinyi kazaliwa kabla Zanzibar haijawa nchi huru na hakuna maelezo yoyote yanayoelezea Uraia wa wazazi wake wote wawili. Hivyo basi hatuna ushahidi tosha wa kuhukumu lolote... Na mwisho wa Yote kama Mwinyi sio Mzanzibar kwa sababu tu hakuzaliwa Zanzibar basi kuna Wangazija wengi sana sio wazanzibar kwa sababu nao baba zao au babu zao walihamia Zanzibar na hasa Unguja..Wakati mwingine ndio maana nampenda Karume alipowambia atawafukuza Wangazija wote ambao hawakuomba uraia wa Zanzibar..