Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,338
- 6,463
Juzi kwenye mahafali ya shule moja ya sekondary Bagamoyo, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliwahasa wananchi wachague viongozi wazuri na makini, wasije wakafanya makosa (Mwananchi 17 Oct. 2010). NEC ya CCM ilikutana hivi karibuni na kuwaomba wastaafu wampige jeki JK, hivi hii ya Mwinyi ndio jeki kwa JK? Au ndio wanamuua kabisa kisiasa?