Ali Hassan Joho, wins Mombasa county gubernatorial race!

Jamaa kashashinda tayari...

Labda kwa kura za maruhani...

Tuweke dau?

mi naweka US $100 we penga kamasi

haya 100 USD, shahidi nani?

mwanakwetu chagua wewe...

Mkuu Ab-Titchaz naomba unisaidie kuchukua hiyo dola 100 toka kwa ndugu yangu Gang Chomba. Ukishachukua dola 50 iwe yako kama shahidi na dola 50 ingiza kwenye akaunti ya JF tafadhali.

cc Invisible, Maxence Melo, Sikonge, Kichuguu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ab-Titchaz naomba unisaidie kuchukua hiyo dola 100 toka kwa ndugu yangu Gang Chomba. Ukishachukua dola 50 iwe yako kama shahidi na dola 50 ingiza kwenye akaunti ya JF tafadhali.

Hatukubali matokeo.
Kwanza jamaa amedanganya vyeti vyake vya elimu, pili anahusishwa na kundi lililotajwa mwishoni mwa mwongo ulopita kuwa ni muuza mihadarati aina ya Cocaine aliyekubuhu na iwapo atapatikana na hatia itabidi aingie shimo la tewa...
Hakika ni muhuni.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kashashinda tayari...

Labda kwa kura za maruhani...

Tuweke dau?

mi naweka US $100 we penga kamasi

haya 100 USD, shahidi nani?

Hatukubali matokeo.
Kwanza jamaa amedanganya vyeti vyake vya elimu, pili anahusishwa na kundi lililotajwa mwishoni mwa mwongo ulopita kuwa ni muuza mihadarati aina ya Cocaine aliyekubuhu na iwapo atapatikana na hatia itabidi aingie shimo la tewa...
Hakika ni muhuni.

Mkuu hayo mambo ya polisi na mahakama. Ya IEBC yameisha...
 
Mkuu Ab-Titchaz naomba unisaidie kuchukua hiyo dola 100 toka kwa ndugu yangu Gang Chomba. Ukishachukua dola 50 iwe yako kama shahidi na dola 50 ingiza kwenye akaunti ya JF tafadhali.

Hii nilijua utakomba tu kutoka day one!...hehehehe!...unaona Gang Chomba, analeta uswahili eti jamaa ni mhuni.
Yaani mahakama ya Kenya hawana kesi dhidi ya jamaa na alikua cleared, leo hii kamanda analeta hadisi ndeeeefu!!!!

Haya Gang Chomba, tutakuacha awamu hii lakini ujue JF inakudai hio $50...lol!...:A S shade:

Utani kando, Joho is the only person fit to lead Mombasa County as a Governor...hao wengine walikua
majusi katika msafara wa kenge tu. Ngoja niende Mombasa nikwahi kubwaga tofali maana nd'o ahadi
niliopewa.

Alf Mabrouk, Abu Joho!!!
 
Back
Top Bottom