Algeria vs taifa stars

siamini! pamoja na kuzidiwa kote, na upendeleo wa referee, lakini dk ya 85 bado ni moja kwa moja.
 
Tanzania haijapiga kona yoyote hadi sasa dakika ya 80

watangazaji wanatoa wasifu wa ngassa kuwa anchezea azm ila alikuwa yanga, mji mkuu wetu ni dodoma na ndo kunapatikana mlima kilimanjaro

asanteni kwa kutuendelezea utalii

Mkuu wewe unatumia link gani hiyo ya kiingereza, au huko TBC1 wanatumia english??
 
Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga
Hata mechi yenyewe nikubwa...yaani mpaka hapo nashukru mungu kwamba mpaka sasa TZ 1 ALG 1 na wako kwao...
 
Pongezi zangu za awali kwa kipa dakika 88 hapa starz wanalinda lango ila Algeria hawana timu nzuri..wakija kwetu nasi tutaweka fitina zote kamati za ufundi za simba,mtibwa na yanga zitafanya kazi kwa kushirikiana na wazee wa zenj
 
Timu nzima ya bongo iliweka ukuta pale ooops tunapuma nw tupo kwenye extra time
 
heheheeee.. warabu wanajiangusha kama mtu wangu pale jangwani!!!
 
BADO DAKIKA MOKO.... starz wamekaza naniii jamaa wanapata tena free kick ya pembeni inaokolewa hapa nakuwa kona dah daha
 
Back
Top Bottom