Algeria vs taifa stars

Mmmh! Kwa mpira huu, ngoja niwahi kulala. Maana sitamani kushudia kipigo cha mbwa mwizi hapa.
 
good game, shida ni kipa naona kama anaona mpira kitofauti, anakatika sana
 
waliomponda golikeeper, mimi simo. Nadhani anajitahidi sana huyu golikipa
 
nasubiria kujua hatma yetu ila naona kama huu mpira sare itakuwa ahueni kwetu..tukipata ushindi itakuwa bonus kwetu!!
 
Waarabu wemeona kuipita gome ya stars ni vigumu hivyo wanafumua mashuti tu...kado anakazi
 
Centre forward wetu ni ngassa and yet wanampelekea mipira ya juu sijui wanategemea nini
 
Back
Top Bottom