kumbe hii ilishaletwa ndani ya JF kwenye JF Doctor uzi nime update ni wa 2010, mbegu zinawezapatikana LITI Morogoro.
hata mimi nimezitafuta muda mrefu sana Morogoro sio mgeni sana ila sijajua hiki chuo kiko wapi ni chuo kama cha Tengeru au Uyole ila nadhani mtu ukiwa Morogoro utakipata tu. Halafu kuna miti ya Leuceana (spp) ColliandraMama Joe, yaani nazitafuta kweli kweli hizi mbegu za lucerne/alfalfa ... ni sehemu gani hiyo details zaidi mkuu
mbona unatutisha kaka? tutaogopa hata kukutafutaNi pm ila bei usishtuke na ata ukiitaji majani mengine sema
Tafadhali naomba kama kuna mtu anaweza kupata hizi mbegu au anajua zinapatikana wapi within Tanzania..
Thanks and will appreciate any information.
Mbegu za Alfalfa (Lucerne) sasa zinapatikana .... tuwasiliane
zinavuta hela nyumbaniMtanipatia sh. ngapi niwaletee tarehe 5/6 October?
Zina matumizi gani? Faida yake ni nini nami nizipande kwangu?
Kuna kimmea fulani cha ajabu nilinunua mbegu zake kinaitwa CATNIP. Ni kimmea ambacho wanyama waliopo katika Genus inayoitwa Feline (mfano Felis domestica = paka) wanapenda sana kuuchezea kwa sababu ya harufu yake.
Kibo seed Arusha.........zipoMkuu bado hizi mbegu unazo, nazitafuta plz
Mbegu za Alfalfa - Lucerne zinapatikana.Tafadhali naomba kama kuna mtu anaweza kupata hizi mbegu au anajua zinapatikana wapi within Tanzania..
Thanks and will appreciate any information.