Alert: waiting to break out

Status
Not open for further replies.
You guys (Kenyans) stop kiddin' yourselves, Ugandans have been fighting (non stop) for years, they take every opportunity they get to fight. We just hope this won't happen because it'll be on our ass to clean up the mess.
 
I dont think there will be war, otherwise it will be termed 'war of the fools' ! Both cant afford to give their citizens bare minimum basics and thinking of fighting ! They cant fight malaria, aids , famine and corruption but can buy ' advanced' weapons to fights among their iimpoverished nations ! - Keep fighting.
 
No no, no Brethrens let us be part of peace keepers and not politicising war...jamani vita si vizuri.......Lucky Dube alijisemea hivi.........it takes one stupid fool to destroy what you have built for years..........na tusiwe part ya stupid fools kushabikia ujinga.
 
Nadhani hii itakuwa fursa nzuri sana kwa wanaotaka kuingia msituni kama mimi ili kumwondoa Vasco da Gama na magamba wake madarakani maana vita vikichanganyia bunduki zitaingia kirahisi nchini kuliko kuvusha kutoka somalia kwa kupitia Kenya refa puliza filimbi bana
 
Kwa teknolojia na diplomasia vilivyoendelea inashangaza kwamba kunakuwa na tatizo la mipaka!

Hata kwetu shida ipo: Malawi wanaamini ziwa Nyasa lote lao, na wanaliita ziwa Malawi, wakati sisi tunaamini tuna sehemu ya ziwa hilo. Hili halijatatuliwa na ni vita tarajiwa.
 
Upuzi mtupu,mwenye kuanzisha hii Uzi ana ugonjwa unayoitwa F.I.T.N.A.hakuna kupigana in its not even worth it,it doesnt even make sense .Na Kwa nini kenya tupigane na Uganda na tunaweza kuwamaliza waganda hatua bila kuinua silaha.Kazi rahisi Tunafunga border,Bidhaa za kenya zisingie Uganda,pertroli isingie,and Uganda sizz.ile vita kidogo ilitokea kenya wakati wa kura,waganda waliumia kiuchumi hata kuliko wakenya.

Hata leo waganda wakiamua bidha zao zipitie Dar,Tanzania port is not cabaple of handling bigger consignment.pengine watumie SA ambapo ni mbali sana,Haiwezekani.So kenya we still hold the four Aces
 
SHIDA IKO WAPI JAMNI ENYI WAKENYA NA WAGANGA?NASHAURI HAO WATU WANAOISHI KWENYE ENEOLENYE MZOZO WAOIGE KURA KUWA WANATAKA WAWE RAIA WA NCHI GANI WAKISHACHAGUA BASI UGOMVI UNAISHA.ILA IWE CHINI YA UANGALIZI WA au
 
Kenya cant go to war with UG, atleast not when Kibaki is President. One thing Museveni knows is that come 2013, and Raila is elected president, His relationship with Kenya will not be the same again. There will be a likelihood of a coup in UG in years to come to overthrow Museveni and am sure the Kenyan gvt will be backing the coup then. Museveni knows this well and thats why he is arming himself for future conflicts with his neighbor Kenya. so all this talk about war before 2012 is just hogwash. All the fruits saying sh*t about the Kenyan army should first check what they have in their barracks and then make those dumb comments.
 
That's wishful thinking (text in red) . Hapo kwenye bluu ushaanza matusi sio?
 
Kenya cant go to war with UG, atleast not when Kibaki is President. One thing Museveni knows is that come 2013, and Raila is elected president, His relationship with Kenya will not be the same again. There will be a likelihood of a coup in UG in years to come to overthrow Museveni and am sure the Kenyan gvt will be backing the coup then. Museveni knows this well and thats why he is arming himself for future conflicts with his neighbor Kenya. so all this talk about war before 2012 is just hogwash. All the fruits saying sh*t about the Kenyan army should first check what they have in their barracks and then make those dumb comments.
Sasa unajua barrack ya waganda ina nini? By the way, issue siyo ni nini unacho kwenye barrack, issue hapa ni mna uzoefu gani wa kupigana? Maana mnaweza kuwa na vifaa vya uhakika kwenye barack zenu halafu vyote vikaishia kupigwa kabla hata havijaondoka kwenda kutumika. Hamjajifunza kitu kutoka kwa Ghadafi nyie? Na maslaha yote na mbinu zote za kijeshi, amebaki analialia tu, hana la kufanya. Nyie bwana tafuteni diplomatic way ya kumaliza hili tatizo, bt going into war itawagharimu sana.
 
Kwenye ishu hii wakenya wameshikwa pabaya (hawana pa kutokea). "Ujanja" wao wote inabidi wautie kibindoni!

Angalizo: Kuanzia sasa hawa wakenya wakianza kuleta lugha zao za kejeli nitawatishia kwa kuwaambia 'nitawaitia waganda'!
 
Kenya cant go to war with UG, atleast not when Kibaki is President. One thing Museveni knows is that come 2013, and Raila is elected president, His relationship with Kenya will not be the same again. There will be a likelihood of a coup in UG in years to come to overthrow Museveni and am sure the Kenyan gvt will be backing the coup then. Museveni knows this well and thats why he is arming himself for future conflicts with his neighbor Kenya. so all this talk about war before 2012 is just hogwash. All the fruits saying sh*t about the Kenyan army should first check what they have in their barracks and then make those dumb comments.
As if Ugandan Govt can not do the same when Raila is in power! Just a matter of setting up Kikuyus to overthrow him! BTW you make me happy, what are ur barracks having? those right off F5 from Saudia Arabia? u must be joking for sure! As it stands now Museveni has a might army in the region tactical and armory! Museveni army has been tested over and over! He himself has fought gorrila wars in Mozambique before going for one within Uganda and overthrew a government in power twice (of Idd Amin and another guy after)! His army has fought in the North against LRA for years, in DRC (several times), in Rwanda with Kagame (RPF) and now in Somalia and in all the places has have significant success! What has Kenyan Army done nearly 50 years of independence? Peace Keeping...!? Bwahaaah ahahah you will be beaten right and left up and below! Don't even dare to try! remain making noises in ur media as usual
 
No no, no Brethrens let us be part of peace keepers and not politicising war...jamani vita si vizuri.......Lucky Dube alijisemea hivi.........it takes one stupid fool to destroy what you have built for years..........na tusiwe part ya stupid fools kushabikia ujinga.
Nobody is politicizing but the way things go a possibility is there! Nothing to hide about! at least these noisy makers have somebody to silence them...
 
...Bwahaaah ahahah you will be beaten right and left up and below! Don't even dare to try! remain aking noises in ur media as usual
Hapo umenena. Si unaona katika hii thread wakenya wote giiiiiii! Wameingia mitini kwa sababu ukweli unauma.
 
Hapo umenena. Si unaona katika hii thread wakenya wote giiiiiii! Wameingia mitini kwa sababu ukweli unauma.
unajua hawa watu wananishangaza all they boast is ati Uganda ina-depend everything on Kenya including a port lakini wanasahau Uganda pia inaweza tumia other options kama kupitisha silaha zao Dar as a sovereign country! of which they have been doing! wanaishia ku-judge through what passes at Mombasa!
 
Sasa twashabikia nini hapa? vita? I think y'all fruits have a lot of time on your hands, do something constructive with your life instead of debating about your neighbors armory and a war that will never happen.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom