Alerid

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari. Jamani naombemlni msaada wa uelewa. Hivi hiyo dawa ni antibiotic, mwanangu anakohoa sana huwa nampa hiyo Alerid syrup sasa keshatumia cloxaciline naweza mpa na hiyo? katumia na ambrox expectorant hali bado
 
Lady G hiyo alerid antihistamane kwa maana nyingine inatibu allergy inayotokana na mavumbi, chakula ,manyoya mifugo etc kama mafua, muwasho kwenye pua, homa lakini cloxacillin ni antibiotic hutibu infect zinazotokana na stapy aina ya bacteria zinafanya kazi sawa na penillin broad spetrum lakini atumie makini sana cloxacilin maana ni dawa hatari inaweza sababisha kushindwa pumua au allergy anaweza tumia hiyo alerid maana yenyewe siyo contraindicated kwa hiyo cloxacilin hiyo expectorant kwa ajili ya makamasi mycolytic agents inasambaza mgandamano wa mucus (phlegm) haina mazara sana .cha msingi muone dactari aliyempa hiyo dawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom