The guy is really talented kunako fani ya muziki, anatisha kwa kutoa nyimbo zilizotulia. Pia nampongeza kwa kampeni zake dhidi ya mauaji ya albino chini ya kampuni yake Afrobino Ltd.
Cheki wimbo huu YouTube - ‪ALBINO FULANI FT. PIPI - USIHOFU (www.DarTalk.com)‬‏
Cheki wimbo huu YouTube - ‪ALBINO FULANI FT. PIPI - USIHOFU (www.DarTalk.com)‬‏