Albert Kilala na waandishi wengine ni kwanini hamuwahoji wabunge swali hili wanapomsifia Magufuli?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Muda huu Channel 10 yuko Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji) katika kipindi cha "Mada Moto". Majuzi alikuwepo Msigwa na pia Tundu Lissu aliwahi kualikwa hapo studio kama siku 8 au 7 hivi zilizopita.

Leo hii Lusinde anamsifu sana Magufuli.Hata Lissu na Msigwa japo japo walimpinga Magufuli lakini pia nao walimpongeza kwa kiasi kidogo hasa katika swala la kubana matumizi.

Swali:Kwanini Waandishi mnashindwa kuwahoji hawa wabunge ni kwanini kama kweli wanamuunga mkono Raisi Magufuli katika kubana matumizi bado wanang'ang'ania kulipwa sitting allowance?Kwanini wao wabunge wasiwe mfano wa kubana matumizi kwa kukata posho hizi?

Waandishi wa kitanzania mna udhaifu mkubwa sana katika swala zima la kufanya mahojiano na huenda huwa hamjiandai vya kutosha.

Waandishi wetu mna udhaifu mkubwa sana wa kuwabana wanasiasa kwa maswali ya msingi mnapopata nafasi.

Ni bahati mbaya sana kuwa ni vigumu sana kupata line wakati kipindi kikiwa kinaendelea. Nilitamani sana kumuuhoji kibajaji hili swali.
 
Suala la sitting allowance wabunge "wengi" bila kujali itakadi zao huwa hawathubutu kuliongelea...

Sijui kwanini!
 
majibu ya wanasiasa ni chenga mingi blaza, wengine watakwambia hawataki lkn wanakuta wamewekewa,wengine wanasema wanatumia kusaidia watuwao (utafkiri wanamiliki watu).
Hataivyo waandishi wetu huwa hawafanyi utafiti. Nchi nyingine tuhuma kama hizi za bandari hugunduliwa na waandishi.
Hawajui kuzama kwenye sekta moja kikamilifu na kuibuka na habari kiundani. Mf. 1. Hakuna mwandishi aliyezama kutuletea habari za kina kuhusu utoroshwaji tanzanite?
. 2. Wizi katika halmashauri,mishahara hewa,malipo feki ya likizo,rushwa kwenye kuajiri,kupangwa kituo chakaz,kupewa ardhi nk
3.faida kubwa za makampuni ya watalii na manyanyaso kwa wafanyakazi wao.
4. Madeni makubwa ya serikali hasa kwenye mifuko ya hifadhi na athari zake.
tena bora magazeti, waandishi wa kwenye tivii wamesinzia mno, hamna uchunguzi wamaana
 
Waandishi wetu wanajali sana vibahasha, kufanya uchunguzi na kusubiri mshahara wanaona sio dili.
 
Muda huu Channel 10 yuko Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (Kibajaji) katika kipindi cha "Mada Moto". Majuzi alikuwepo Msigwa na pia Tundu Lissu aliwahi kualikwa hapo studio kama siku 8 au 7 hivi zilizopita.

Leo hii Lusinde anamsifu sana Magufuli.Hata Lissu na Msigwa japo japo walimpinga Magufuli lakini pia nao walimpongeza kwa kiasi kidogo hasa katika swala la kubana matumizi.

Swali:Kwanini Waandishi mnashindwa kuwahoji hawa wabunge ni kwanini kama kweli wanamuunga mkono Raisi Magufuli katika kubana matumizi bado wanang'ang'ania kulipwa sitting allowance?Kwanini wao wabunge wasiwe mfano wa kubana matumizi kwa kukata posho hizi?

Waandishi wa kitanzania mna udhaifu mkubwa sana katika swala zima la kufanya mahojiano na huenda huwa hamjiandai vya kutosha.

Waandishi wetu mna udhaifu mkubwa sana wa kuwabana wanasiasa kwa maswali ya msingi mnapopata nafasi.

Ni bahati mbaya sana kuwa ni vigumu sana kupata line wakati kipindi kikiwa kinaendelea. Nilitamani sana kumuuhoji kibajaji hili swali.
Ngoja niongezee na swali lingine! hao wabunge wanaomsifia Magu, wanatakiwa waulizwe je ni jambo gani amelitimiza katika jimbo lake? Hawa watu wanawakilisha jimbo hivyo kama wananchi wako wanaendelea kuteseka wakati wewe unasifia na mwandishi hulioni hilo nadhan ni tatizo!
 
majibu ya wanasiasa ni chenga mingi blaza, wengine watakwambia hawataki lkn wanakuta wamewekewa,wengine wanasema wanatumia kusaidia watuwao (utafkiri wanamiliki watu).
Hataivyo waandishi wetu huwa hawafanyi utafiti. Nchi nyingine tuhuma kama hizi za bandari hugunduliwa na waandishi.
Hawajui kuzama kwenye sekta moja kikamilifu na kuibuka na habari kiundani. Mf. 1. Hakuna mwandishi aliyezama kutuletea habari za kina kuhusu utoroshwaji tanzanite?
. 2. Wizi katika halmashauri,mishahara hewa,malipo feki ya likizo,rushwa kwenye kuajiri,kupangwa kituo chakaz,kupewa ardhi nk
3.faida kubwa za makampuni ya watalii na manyanyaso kwa wafanyakazi wao.
4. Madeni makubwa ya serikali hasa kwenye mifuko ya hifadhi na athari zake.
tena bora magazeti, waandishi wa kwenye tivii wamesinzia mno, hamna uchunguzi wamaana
Wawe kama Shigongo kwenye udaku.
 
Nafikiri magazeti ya kiuchunguzi nayo sio mengi sana hapa bongo,najua la mwanahalisi,Jamhuri na kidogo Rai
 
Back
Top Bottom